jimbo na taifa lipi ni muhimu kwa sasaWewe ndio ulimpigia kura jimboni kwake?
Kitu kimoja cha muhimu nataka mfahamu, Rais wa zamani wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uongozi wake alisema anapinga Ujinga, Maradhi, na umaskini, na kipindi cha kugombea uhuru wa Tanganyika.
Tukumbuke ili Dikteta yoyote Yule duniani aweze kutawala nchi yoyote jambo la kwanza kuwafanya watu wawe maskini, pili kuhakikisha hakuna mtu wa kuwaelemisha wabaki wawe wajinga tu. Mfano wasijue sheria na haki zao.
Wasipojua haki zao watabakia kuwa waoga tu.
Na Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefika hapo alipo kwenye ufalme huo kwa goli la mkono.
Hawezi kuzikiliza ushauri wa mtu, kila kitu atakachosema basi ndio kifuatwe.
Naomba niwahakikishie Historia inaongea wengi wataamka kutoka kwenye ujinga, ila tuna kazi kubwa sana kuondoka kwenye umaskini huu.
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Wewe umepita mlango gani hadi kufika hapa! Make mnapenda sana kuvamia vamia.Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Wewe hujui jimboni kwa Lisu, na hii inamanisha hata taarifa unayotoa ni uwongo mtupu, kwasababu lisu hatokei Iramba ww utakuwa mmoja wapo kati ya watanzania wanne.Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
waliompigia kura ni wananchi wa jimbo lake.....sasa hivi anawadharau anahangaika na mambo yasiyolisaidia jimbo uchaguzi ujao apigiwe kura na hao watanzania huku jimboni hatumtakiWana Iramba wamepata hasara sana lakini Tanzania imenufaika mno; Tanzania kwanza, jimbo baadae!
ngoja wakuvamieLisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Lazima unasaidiana na Bashite kupooza dushe ya basha mkuu inapopata hasira. Bunge live limepigwa marufuku utamuona wapi sasa anaongelea jimbo lake? Kweli IRAMBA hasara wanayo, mbunge wa Iramba si unamjua?Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Achana na mjinga huyo asiyejua kuwa chanzo cha ujinga, umasikini na maradhi ni hili dubwana liitwalo ccm, miaka 56 ya Uhuru bado tunaomba misaada ya madawati ya wanafunzi!!!Wewe ndio ulimpigia kura jimboni kwake?
We mwenyewe mbona huwa huongelei unakotoka au hadi uwe kiongozLisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Hata wewe sijawahi ona ukiongelea inshu ya vyetiLisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
ndo nyie mnakimbilia kuamua ugomvi wa ndoa za wenzenu ingali zenu zimefuka moshiLisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana