Lissu: Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefikia ufalme huo kwa bao la mkono

Kitu kimoja cha muhimu nataka mfahamu, Rais wa zamani wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa uongozi wake alisema anapinga Ujinga, Maradhi, na umaskini, na kipindi cha kugombea uhuru wa Tanganyika.

Tukumbuke ili Dikteta yoyote Yule duniani aweze kutawala nchi yoyote jambo la kwanza kuwafanya watu wawe maskini, pili kuhakikisha hakuna mtu wa kuwaelemisha wabaki wawe wajinga tu. Mfano wasijue sheria na haki zao.
Wasipojua haki zao watabakia kuwa waoga tu.

Na Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefika hapo alipo kwenye ufalme huo kwa goli la mkono.

Hawezi kuzikiliza ushauri wa mtu, kila kitu atakachosema basi ndio kifuatwe.
Naomba niwahakikishie Historia inaongea wengi wataamka kutoka kwenye ujinga, ila tuna kazi kubwa sana kuondoka kwenye umaskini huu.



Hivi haya maneno na mipasho yana faida gani hasa kwa chadema? Yanaisadia vipi chadema kwenda mbele? Kwa maana Tundu Lisu ameanza zamani sana kuyatoa sasa ningependa feedback!
 
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana


Wana Iramba wamepata hasara sana lakini Tanzania imenufaika mno; Tanzania kwanza, jimbo baadae!
 
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Wewe hujui jimboni kwa Lisu, na hii inamanisha hata taarifa unayotoa ni uwongo mtupu, kwasababu lisu hatokei Iramba ww utakuwa mmoja wapo kati ya watanzania wanne.
 
Ss ww unaemsaidia Lisu kuongelea jimbo lake umetumwa na wana Iramba,au magufuli,km anavyotumwa bashite kuvamia vituo vya habari,au unamsaidia bashite kz? Funga mdomo wenye cheti feki na divisheni ziro yaani (0)
Vinginevyo na we tutaomba Sugu akijumuisha kati ya wanaohitaji ukaguzi wa daktari mkuu wa serikali.
 
Wana Iramba wamepata hasara sana lakini Tanzania imenufaika mno; Tanzania kwanza, jimbo baadae!
waliompigia kura ni wananchi wa jimbo lake.....sasa hivi anawadharau anahangaika na mambo yasiyolisaidia jimbo uchaguzi ujao apigiwe kura na hao watanzania huku jimboni hatumtaki
 
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana
Lazima unasaidiana na Bashite kupooza dushe ya basha mkuu inapopata hasira. Bunge live limepigwa marufuku utamuona wapi sasa anaongelea jimbo lake? Kweli IRAMBA hasara wanayo, mbunge wa Iramba si unamjua?
 
Wewe ndio ulimpigia kura jimboni kwake?
Achana na mjinga huyo asiyejua kuwa chanzo cha ujinga, umasikini na maradhi ni hili dubwana liitwalo ccm, miaka 56 ya Uhuru bado tunaomba misaada ya madawati ya wanafunzi!!!
 
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana

Amechaguliwa vipindi viwili tena katikati ya mizengwe ya dola hivyo wananchi wa jimbo lake wanamuamini maana hana uwezo wa kuiba kura.
Pili kwa kudhibitisha kuwa wewe huwa ni mjinga, Lissu sio mbunge wa Iramba bali wa Ikungi ambayo zamani ilijulikana kama Singida mashariki.
Kama hujui kitu ni vema kunyamaza kwani unajiacha uchi tuu na watu wana kuona zoba
 
Lisu sijawahi kuona akiongelea jimbo lake...jimbo lake maji ya shida sana wala hana habari wana Iramba wamepata hasara sana



Tundu Lissu hana cheti cha kuzaliwa wewe binti,kama ulitegemea ndoa usahau,ataishia kukumega tu.Bora ukimbilie kwangu Mimi nina vyeti vyote,nitakuoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom