Heron
JF-Expert Member
- Oct 4, 2013
- 1,946
- 1,798
Sikiliza clip,,Kuna tatizo katika kumnukuu jaribu kupitia tweet zake tena.
Sikiliza clip,,Kuna tatizo katika kumnukuu jaribu kupitia tweet zake tena.
Mkuu, na wewe ni mjinga? I am just curious.Mbona wengine wakisema malofa na mafala hampigi kelele? Mbona mwalimu alishasema ni bora mjinga kwani unaweza kumuelimisha kuliko mpumbavu? Acheni haya mambo
Hivi nyie mnaosema Hawa siyo watumishi wa umma wanafanya kazi na mbuzi?Tundu Lissu acha matusi matusi na dhihaka kwa mamlaka na hata Nyerere hakuwahi kufanya dhihaka hizo ktk kutafuta ukweli wa jambo.
Tundu Lissu nenda Mahakamani ukapate tafsiri kuhusu watumishi wa umma na Viongozi wa kisiasa kisheria ni wakina nani??
Sio kulalamika tu na kutoa tafsiri za kuwachanganya wanainchi kisa unamtafuta Paul Makonda kwanza ni aibu kwa mwanasheria kama wewe kuingia ktk mambo ya kusadikika.
Hasira zote kisa Mkuu wa Dar Paul Makonda hajaguswa ndiyo shida yako.Kumbuka na 2020 ni Karibu sana na uwezekano wa kuwa na Wabunge wachache wa upinzani ni mkubwa.
Eti ndiyo mgombea mtarajiwa 2020. Kuna ugumu gani wa kutumia kauli za staha kama kiongozi mtarajiwa na kuanza kujenga profile yenye sura ya kitaifa? Haya matusi yanamsaidia nani? Kila akifungua mdogo ni matusi. Geez!!!
'"Hii kauli ya kuwa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Mawaziri na Manaibu Mawaziri kuwa sio watumishi wa umma ni ya kijinga tu na aliyeitoa ni mjinga tu vile vile." [HASHTAG]#Tundu[/HASHTAG] Lissu, Rais wa TLS.
Sasa kama RC na DC anatakiwa kujua kusoma na Kuandika basi hii nchi ipo karne ya 7.[/QUOTE]
Tundu Lissu ni taahira nani alisema kuwa hao sio watumishi wa Umma? kilichosemwa ni kuwa vigezo vya hao kupata ajira ni kujua kusoma na kuandika...
Neno mjinga siyo tusi ingawa linaudhiEti ndiyo mgombea mtarajiwa 2020. Kuna ugumu gani wa kutumia kauli za staha kama kiongozi mtarajiwa na kuanza kujenga profile yenye sura ya kitaifa? Haya matusi yanamsaidia nani? Kila akifungua mdogo ni matusi. Geez!!!
Kama ali Fanya forgery atang'oka tu hamna alie juu ya sheriaHasira zote eti Makondo kwa nini hatumbuliwi!!! Sasa mtakoma
Kuna tatizo katika kumnukuu jaribu kupitia tweet zake tena.
Bashite unamjua wewe!! Mimi silijui hilo jina ila nakukumbusha tu 2020 ni Karibu sana na idadi ya Wabunge wa upinzani itapungua sana hautaamini macho yako wewe endelea na kesi zako za Mahakamani.Baada ya posho kupunguzwa naona mmechanganyikiwa mno ! Hivi wewe na huyo Bashite mnaweza kupunguza wabunge wa upinzani ?
kwa matusi tunamuhitaji sana.. HAZINA YA TAIFA.Tundu Lissu ni hazina ya Taifa
Hivi "viraza" ni salamu ya kabila gani huko Tanzaniakwa matusi tunamuhitaji sana.. HAZINA YA TAIFA.
Vichaa hospitali huwa wanaamini madaktari wote hawana akiliHivi "viraza" ni salamu ya kabila gani huko Tanzania
Sasa kama RC na DC anatakiwa kujua kusoma na Kuandika basi hii nchi ipo karne ya 7.[/QUOTE]
Tundu Lissu ni taahira nani alisema kuwa hao sio watumishi wa Umma? kilichosemwa ni kuwa vigezo vya hao kupata ajira ni kujua kusoma na kuandika...
Eti ndiyo mgombea mtarajiwa 2020. Kuna ugumu gani wa kutumia kauli za staha kama kiongozi mtarajiwa na kuanza kujenga profile yenye sura ya kitaifa? Haya matusi yanamsaidia nani? Kila akifungua mdomo ni matusi. Geez!!!
Kumbe ujinga ni tusiTundu Lissu acha matusi matusi na dhihaka kwa mamlaka na hata Nyerere hakuwahi kufanya dhihaka hizo ktk kutafuta ukweli wa jambo.