30 April 2024
Morogoro, TanzaniaLissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru
View: https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY
- Matendo ya serikali yetu
- Uasi wa 1964 majeshi
- Mwl. Nyerere aanzisha jeshi la wananchi wa Tanganyika sharti likiwa lazima kuwa mwanachama wa TANU Youth league
- Chuo Kikuu ilikuwa lazima uwe mwanachama wa TANU / CCM huo ni ubaguzi
- Huwezi kugombea uongozi kama siyo mwanacham wa TANU / CCM katiba ya nchi ilisema huu ulikuwa ubaguzi
- Sasa miaka hii ya 2024 ubaguzi upo ktk katiba moja ya Tanzania na moja ya Zanzibar huku ya Tanganyika haipo huu ni ubaguzi
- Mtanganyika huwezi kupiga kura kule Zanzibar lakini wenzetu wanaweza kupiga kura Tanganyika
- DC wa Kilosa mheshimiwa Shaka lakini mtanganyika kwa katiba ya Zanzibar hawezi kuwa sheha, mwakilishi wala DC Zanzibar
- Bandari za Tanganyika zimepigwa mnada lakini za Zanzibar zimelindwa ingawa bandari ni suala Muungano, huu ni ubaguzi
- Huu ni ubaguzi mkubwa katika katiba
- Tunawaambia CCM kuhusu ubaguzi huu ktk katiba wamekuwa wakali kweli kweli wakati mifano mingi ipo ila tumetaja michache hapo juu