Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,580
- 48,729
safi sana
tuone hyo law education yake feki itamsaidia nini
tuone hyo law education yake feki itamsaidia nini
Na alijuam kuna uwezekano akakosa dhamana! na anajua wanaweza wakamuweka ndani muda mrefu, he is ready for that
#FreeKamandaLissu
HahahaaaHata Mandela alipita hatua kama hizi
Anyway,sio mbaya mradi ni chura kapigwa teke.
Kumtukana rais ni kutukana polisi. Mwambieni ajifunze kwa Lowasa, awe mpole na mnyenyekevu. Asiwe na papala. Kiongozi huwa hatukani.Acha kukurupuka ni lini Lissu amelikashifu jeshi la polisi, kama hujui kitu kaa kimya.
hahahahahaha
#FreeKamandaLissu
Na alijuam kuna uwezekano akakosa dhamana! na anajua wanaweza wakamuweka ndani muda mrefu, he is ready for that
kuburutana kumezidi, mtu yoyote utahisi hiviLisu ndio alichokua anatafuta, Lisu ni mpuuzi wa kiwango cha Lami..
Hivi mtu akikamatwa na Polisi, unamuusishaje Rais.. Mbona huku chini sisi tunakamatwa mbona atusemi Rais anahusika
KweliKisheria sidhani kama hapo kuna kesi,
Hata Mandela alipita hatua kama hizi
Anyway,sio mbaya mradi ni chura kapigwa teke.
Huyo polisi kawazoea sio mara yake ya kwanza kukaa mahabusu wangempeleka na segerea ili akajifunze watu wanavyoishi kule ndaniMbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu anatuhumiwa na Jeshi la Polisi kufanya Uchochezi na kutoa lugha ya matusi. Polisi wamemnyima dhamana atafikishwa Mahakamani kesho.
Nina wasiwasi majaji kuitwa!Huu ndiyo wakati wa UKAWA kushikamana kama kitu kimoja kuliko wakati mwingine wowote ule, maana hii kesi ya Lissu ndiyo itaweka bayana mwelekeo wa nchi ama kuukomesha udikteta au udikteta kushamiri kwa kiwango cha juu kabisa na kutishia amani ya Watanzania ambao hawakubaliani na mwelekeo wa nchi na sera za kidikteta.
Saafi sana. Hivi yeye haoni wajanja akina Lowasa na Sumaye wapo kimya, wakiongea wanalinda kauli zao. Upinzani siyo mihemuko, na huwezi kushindana na serikali, maana Lissu akumbuke kuwa wanasiasa huwa wanabadilishana lakini siyo watendaji wa serikali, hao hukaa mpaka kufikia umri wa kustaafu, huwezi ukalikashifu jeshi la polisi au jwt halafu ubaki uraiani wao wanafanya kazi bila kuangalia siasa.
Na alijuam kuna uwezekano akakosa dhamana! na anajua wanaweza wakamuweka ndani muda mrefu, he is ready for that