LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,378
- 13,918
Kuna kaukweli, aliyeharibu ni mbowe, mtu miaka 21+ Bado unalazimisha kugombea tu? Alipaswa kukaa pembeniChdm this time mko offside...hamueleweki, mnyukano wenu utadhani ni vyama viwili tofauti..siwaelewi na sidhani kama mnaeleweka..waliochukua form za uenyekiti naona wote hawafai kwa maoni niyaonayo humu..bora angetokeaga mwingine tofauti na hawa..kisha apate hio nafasi..ili Mbowe na TL wote wakae pembeni