sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,164
- 8,849
Kuna mashabiki na wanachama wamekuwa wakitishia kwamba endapo Lissu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema basi wataondoka nae kwenye chama.
Wanapiga mikwala hiyo ili kushinikiza Mbowe amuachie kiti Lissu au wajumbe waingie hofu kwamba kumchagua jemedari wao the one and only Mbowe itasababisha chama kupasuka na kufa.
Ni hivi hakuna mtu yoyote wa Chadema anaweza kuondoka sababu ya Lissu. Lissu zaidi ya kuropoka hana ushawishi wowote wa maana na kwa taarifa tu wanachadema wanakipenda mno chama chao zaidi ya Lissu. Wapo tayari kurekebisha kasoro zinazowakwaza wakiwa ndani chadema ila sio kutoka.
Kwanza wakitoka wanaenda wapi? ACT? NCCR? CUF? Hawana pakwenda. Kupata chama ghafla ghafla wakiamini na kukipenda kama chama chao chadema sio kazi rahisi. Kwa hiyo wapo sana na wanajiandaa kuongozwa na Mbowe iwe wanataka au hawataki.
Tuendeleee kusubiri kishindo cha Mbowe, bado ananoa bisu lake.
Heri ya mwaka mpya!