Lissu acha kulialia Pambana na Wataalam Wenzako

Hiyo pic alipigwa wakati wa msiba wa dadake Yule mbunge aliyefariki sasa ulitaka acheke ndio mseme Hana uchungu na dadake??? jaman siasa zisiwape upofu mkakejeli mpaka misiba
 
Acha Uongo!

Marehemu Dada yake alisharudi CCM kabla ya kufariki hakuwa Tena Chadema sasa hayo Magwanda ya Chadema yalifuata nini msibani?
 
Lissu acha kulialia Pambana na Wataalam Wenzako kama unafanyiwa hujuma na wewe fanya hujuma sio unatuma sms kwenye mitandao kutafuta Public Symphathy.

Lissu anajua na dunia inajua katika kila chaguzi FIGISU FIGISU hazikosi. Namkumbusha tu kidogo Tundu Lissu wakati wa Usaliti wa Yuda Kabwe alitoka na kauli nyingi ambazo ni za hujuma na kipindi kile CHADEMA waliokuwa wanaelekea kwenye uchaguzi wa Ndani wa chama chao.

Halafu mwaka 2015 Lissu alishiriki kumhujumu Slaa baada ya LOWASSA kuhamia CDM na kuwa Mgombea Urais, Tundu Lissu huyu huyu alishiriki kumhujumu Rais wa Mioyoni mwa Wadanganyika.........In short TL atulie na yeye ana nafasi ya kuwafanyia hujuma wagombea wenzake sababu ndio nature ya chaguzi inayofanywa ili kupunguza mchuano.

Let the game begin
So unasema Mwakyembe anamfanyia hujuma??Kama ni hivyo basi sawa
 
Yawezekana haijui vizuri dunia katika upande wa pili, hauwezi kuwa mshindi kila eneo kila wakati na siku zote. Dunia ina nguvu za asili na za kibinadamu na zinapokuwepo za asili basi za binadamu haziwezi kufaulu
 
I wish I could be Moderator ,ningekuwa napima intellectual quotient kwanza kisha ndipo nakuchagulia respective jukwaa,huyu mtoa mada angekuwa Chit Chat.

Unataka apambane na wenzie akina nani wakati hakuna fair battlefields?Haya matamko ya Waziri na Mkuu nayo ni sehemu ya maadui?
Hiyo siasa anaifanya Lissu peke yake lakini aliyechukua mpaka fomu ya kugombea uraisi yeye haonekani?

Hivi ni katiba ya CCM inayoruhusu mtu kuwa Mbunge at the same time mkuu wa mkoa?Hivi unategemea katibu mwenezi na mkuu wa wilaya wanatakiwa watoke CCM tu?

Think big bro/sisy.Ungekaa kimya ingekuwa bora zaidi.
TLS ni chombo huru na hivyo lazima kiwe na free and fair election.

Nitashangaa kama hawa wanasheria nao watanunuliwa kwani huwezi kuwa Lawyer bila kuwa bright with independent thinking.

Kama waliweza kununua wasanii basi wakiwanunua na mawakili basi akili za akina Batuli zitakuwa mara mia ya zao
 
Lissu acha kulialia Pambana na Wataalam Wenzako kama unafanyiwa hujuma na wewe fanya hujuma sio unatuma sms kwenye mitandao kutafuta Public Symphathy.

Lissu anajua na dunia inajua katika kila chaguzi FIGISU FIGISU hazikosi. Namkumbusha tu kidogo Tundu Lissu wakati wa Usaliti wa Yuda Kabwe alitoka na kauli nyingi ambazo ni za hujuma na kipindi kile CHADEMA waliokuwa wanaelekea kwenye uchaguzi wa Ndani wa chama chao.

Halafu mwaka 2015 Lissu alishiriki kumhujumu Slaa baada ya LOWASSA kuhamia CDM na kuwa Mgombea Urais, Tundu Lissu huyu huyu alishiriki kumhujumu Rais wa Mioyoni mwa Wadanganyika.........In short TL atulie na yeye ana nafasi ya kuwafanyia hujuma wagombea wenzake sababu ndio nature ya chaguzi inayofanywa ili kupunguza mchuano.

Let the game begin

Hahahhahahahah baada ya kupigwa moja mmeanza kutapa tapa oh siyo mimi,mie nilicomment tu.Mnalo hilo
 
Hii ni vita ya team Mbowe (Lissu) vs team Lowasa (Masha), CCM wao wanapita taratibu tu pembeni halafu baadaye tunaanza kupigiwa soga za sijui "Jecha" kafanyaje huko.
Hapo umekosea kabisaaa! Kilichopo hapo ni mpambano kati ya team ccm wakisaidiwa na policesisiem dhidi ya TEAM CHADEMA wakisaidiwa na wapenda haki wote Tanzania.
 
Lissu alitaka kupita kiulaini hahahahahaha analia lia....
 
Lissu acha kulialia Pambana na Wataalam Wenzako kama unafanyiwa hujuma na wewe fanya hujuma sio unatuma sms kwenye mitandao kutafuta Public Symphathy.

Lissu anajua na dunia inajua katika kila chaguzi FIGISU FIGISU hazikosi. Namkumbusha tu kidogo Tundu Lissu wakati wa Usaliti wa Yuda Kabwe alitoka na kauli nyingi ambazo ni za hujuma na kipindi kile CHADEMA waliokuwa wanaelekea kwenye uchaguzi wa Ndani wa chama chao.

Halafu mwaka 2015 Lissu alishiriki kumhujumu Slaa baada ya LOWASSA kuhamia CDM na kuwa Mgombea Urais, Tundu Lissu huyu huyu alishiriki kumhujumu Rais wa Mioyoni mwa Wadanganyika.........In short TL atulie na yeye ana nafasi ya kuwafanyia hujuma wagombea wenzake sababu ndio nature ya chaguzi inayofanywa ili kupunguza mchuano.

Let the game begin
Unaweza kusema Slaa alihujumiwa kwa namna gani katika Nini?
 
Na wewe acha kunyonya kidole jitu zima linayonya kidole tena cha kono la inya
7ce60227a2d8a24c432bc2277fa3a8e7.jpg
 
Kwanza hizi picha ni za msiba wa dada yake ninyi mmezileta kwny mambo ya kipuuzi.
Acheni ulofa
 
Back
Top Bottom