Lipumba amsifu Jecha kufuta matokeo Zanzibar

pic+lipumba+3.png

  • Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

Chanzo: Mwananchi
profesa Lipumba.v.u
 
Hana choice lazima ampongeze Jecha anatafuta kufanya kitakachomfurahisha boss wake mpya.....Ni masikitiko makubwa mtu mwenye kiwango cha elimu ya Professor kutumika.....
labda asili yake inachangia pia !!!!!!!!
 
Jecha alikuwa sahihi, hata mimi ningefuta, Seif alifanya makosa kujitangaza mshindi kabla tume haijatangaza matokeo yake rasmi, hiyo kasoro seif hataki kuiona wala kuikubali.
 
Lipumba bora asingezaliwa, na ni bora hazai coz angeliletea taifa watoto ambao lingekuwa ni janga la kitaifa.

Angalizo Wanaume wote ambao hawajawahi kuishi na wake zaidi wale ambao hawapo kwenye nadhili zozote za kiutumishi asilimia kubwa wana tabia kama za lipumba.
Inawezekana Kuna mahusiano ya karibu sana kati ya utoaji shahawa nje na kutulia au kuimalika na kutengamaa kwa ubongo wa mwanadam.
 
pic+lipumba+3.png

  • Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

Chanzo: Mwananchi
Wewe na Mwananchi mmemzushia uongo Prof Lipumba. Sijui mmeongozwa na nini kichwani mwenu mpaka kuueneza uongo huu wa dhahiri. Clouds wameyaweka mahojiano hayo You Tobe.
Alichokisema Prof Lipumba ni kwamba wakati wa mkutano wa kuijadili barua yake ya kujihuzuru, baadhi ya wajumbe walitaka afike na kuhojiwa. Alifika,lakini Mtatiro alikataa asihojiwe bali alitaka mapumziko ya wao kujadili hilo. Walikaa muda mrefu kabla ya kurudi ukumbini. Waliporudi hoja ya kupiga kura ikaanza. Mjumbe mmoja akasimama akasema tunapigaje kura ngoja nihesabu. Wakati wengine wakishangaa mjumbe huyo alihsabu na kusema 14 wamekataa Prof Lipumba asijiuzuru na wajumbe mia na wamekubali Prof Lipumba ajiuzuru. Kwa taarifa hiyo Maalim Seif aliitumia kutoa matokeo ya kura. Baada ya hapo wajumbe wasioridhika walianza kuimba bora Jecha kuliko Maalim Seif!!!;bora Jecha kuliko Maalim Seif!!!. Jecha alifuta matokeo baada ya kura kupigwa lakini Maalim Seif katangaza matokeo bila kura kupigwa.
Hivyo ndivyo alivyosema leo Prof Lipumba na si huo ujinga ulioandikwa kwa makusudi ya kuendeleza mgogoro.
 
pic+lipumba+3.png

  • Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

Chanzo: Mwananchi

Huo ndio ukweli wala siyo jambo la kuonea haya. Seif alifanya kosa baya la kujutia katika maisha yake kujitangazia matokeo wakati sheria anazijua.Sasa ona anavyohangaishwa na Lipumba.Aliheshimika sana Wakati wa SUK sasa ndiye eti anatembelea wagonjwa huko buguruni jambo ambalo hakulifanya akiwa makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar.
 
Yaani kati ya wachangia wote ni watatu tu ndio binadamu wanaomuogopa Mungu kwa kuogopa kumzushia mtu uongo.Nao ni mimi, Ficus na Nyenyere. Tanzania inayo safari ndefu ya kustarabika. Kama kundi lote hili linaona uongo na ufitini ni kitu bora basi ipo kazi
 
pic+lipumba+3.png

  • Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

Chanzo: Mwananchi
Mgombea akijitangazia matokeo hakufuti uchaguzi bali tume inatakiwa itangaze mshindi halali na kumpuuza aliyejitangaza.
Wakati mwingine maamuzi magumu huchukuliwa halafu zikatolewa sababu za kijinga na watu wanazikubali na kuzikariri bila hata kutumia akili ya kawaida.
 
Back
Top Bottom