Anarudi kufanya nini ndilo tatizo kubwa!! Maana Safari hii anarudi kuja kubomoa chama kama alivyotumwa na ccm, upande wa pili upi? Lipumba alichokifanya Kipindi cha kampeni hakistahili kusahaulika haraka hivyo kisha arejeshwe kienyeji enyeji kama anavyotaka na jinsi kamati ya Ufundi ya January inavyotaka, ccm wanashauku kubwa ya kuona CUF inakufa hususani kule Pemba ili wapate kutawala bila upinzani.Cuf asili tupo tunasubiri vikao vya chama.Na pia asilimia kubwa ya cuf si watu wa kuranda kwenye mitandao .Nashangaa wanaopinga kurudi kwa prof Lipumba wengi ni jamaa wa upande wa pili.
Tunasubiri vikao halali