Link kuhusu Boeing ya Tanzania ni link fake-Ushahidi

Hoja ni kuwa ndege iliyotajwa na serikali sio ambayo mafundi wa Boeing Everett factory wanaifanyia kazi. series 787-8 hazijafika huko line 719., hii ya kwetu tumeambiwa bado kuweka engine. kuweka engine steps zifuatazo inabidi zifikiwe.
  1. Find buyer/receive order
  2. identify assembling facility between Everett and Charleston
  3. To be assembled
  4. Parts arriving to factory
  5. Undergoing final assembly
  6. Kwa terrible Teens (kufanya re-work): hizi zilishakuwa assembled muda mrefu sana.
  7. Engine mounting
  8. Production Testing
  9. pre-flight testing
  10. non-customer flight tests
  11. Completion of all tests
  12. Customer delivery
Ukitazama internal Boeing documents ndege pekee iliyoko kwenye hatua ya kusubiri kufanya engine mounting ni hii LN19

Hiyo LN719 hata fuselage na vifaa vyake havijafika kiwanda cha kufanyia assembly., na nikisema vifaa naongelea Fuselage(plane main body part). Kwa vyovyote vile waziri amedanganya, kwa sababu hata kesho wakiinunua Boeing 787 LN719. Amedanganya bunge kuwa tuko hatua ya kuchagua engine ya LN719, sio kweli.

fuselage.gif

kwa hili mbarawa akae pembeni, kwa kudanganya bunge au aombe radhi na kuweka wazi hili swala

Hoja yako bado haileweki. Tuanze na moja wewe si uko kiwandani bwana, sasa tuambiane line zimeanzia ngapi na zimefikia ngapi? na jumla ya order na zilizouzwa 787-8 zimefika ngapi?
 
Nguruvi3 Zitto hana hoja katika hili, amesema ndege tuliyonunua ni terrible teen, 787-8, L19, serikali imekanusha na kutoa maelezo ya kutosha kuwa ndege iliyonunua ni 787-8, L719. Sasa hapo utata upo wapi ? Hoja ya Zitto hasa ni nini ?
Nadhani hoja ya Zitto ni kuwa 'something is wrong' kwamba tunachouziwa kina utata. Sioni tatizo na wasi wasi kwa kuzingatia
1. Tumenunua meli feki (Dar-Bagamoyo)
2. Tulikodi ndege feki ATCL
3. Tukaletewa mitambo feki ya Richmond
4. Tulinunua Radar kwa kupigwa kisawa sawa na wezi wapo tu

Orodha inaendeleaKinachotisha katika ununuzi wa ndege ni hii miong'ono kuwa taratibu za manunuzi ziliwekwa kando ili 'kuondoa' ukiritimba ndege zije mapema!
 
View attachment 504566 View attachment 504562 View attachment 504516 View attachment 504548 Wadadu, link hii ninayoikwoti sahihivi inayosambazwa kwa kuonesha ndege ya boeing iliyonunuliwa na Tanzania ni link fake, iliyotengenezwa kwa malengo ya kisiasa. Ushahidi uko hapo kwenye hii niliyoatach. Na hiyo link nai kwote hapa "Airbus, Boeing, Convair and Douglas Production List"

Na ili ujue ukweli cklik hiyo picha hapo chini. Hii website fake imetengenezwa tarehe 18 september 2016, ili tu ku mislead public ya wa Tanzania.
Its fair to say, despite your longstanding membership, you're among the most ignorant individuals in this forum. Its clear neither IT nor Aviation happen to be your forte, and yet, you pretend to be an expert in both.
 
Is that insult gives you a comfort zone? Anyway, it is very much fair to say that, the other way around works fine for you.
 
Toa yako ambayo sio feki.matapeli nyie ccm na wizi kwenu ndio ilani ya chama.

Swissme
Mnahangaiika, hivi kwa akili zenu za kushikiwa na Mbowe mnafijiri propadanga za ndege mnaweza kupunguza kasi ya JPM kuchapakazi? Tafuteni event nyingine hii mmeshachemsha
 
CCM majizi majizi hayawezi kuishi kwa hela ya hakika wao ni rushwa ujambazi ubadhadhi kila baya katika nchi ni wao
 
maweeee kwaiyo maIT wa lumumba ndo mmekuja na hii yakudublicate na kuedit, shame on u kawadanganyeni wageni wa aya mambo
uzalendo wenu nini
 
Hoja yako bado haileweki. Tuanze na moja wewe si uko kiwandani bwana, sasa tuambiane line zimeanzia ngapi na zimefikia ngapi? na jumla ya order na zilizouzwa 787-8 zimefika ngapi?
usiulize maswali yaliyo na majibu ya wazi.,
nenda website ya delviery boeing in hayo majibu.

mwambie makame, atunze heshima yake, asiendelee kudanganya kuhusu hii ndege
 
Kwani hivi kuna sababu wa kuwajibu hawa watu?, nyie subirini kitu dreamer kije basi siku ileile utawakuta kibao ndani ya mchuma huku wanachekacheka.
 
Kwani hivi kuna sababu wa kuwajibu hawa watu?, nyie subirini kitu dreamer kije basi siku ileile utawakuta kibao ndani ya mchuma huku wanachekacheka.
Yeap!
walisubiri kitu 'meli' tukawaona wakishangilia. Leo tunajua tofauti
Tuliona wakiwa na mashada ya maua kupokea Boeing ya kukodi, sasa ni gofu
Tuliwaona wakishangilia zigo la mashine za Richmond likishusha DIA, leo wanajua
Tuliwaona wakishangalia radar kubwa southern Sahara, tukala nyasi

Yes wasubiri kitu ''Dreamer'' kama unavyokiita kitue DIA!!!
 
usiulize maswali yaliyo na majibu ya wazi.,
nenda website ya delviery boeing in hayo majibu.

mwambie makame, atunze heshima yake, asiendelee kudanganya kuhusu hii ndege

Vipi hapo, ila nimeichukua picha kwa mwana UKAWA mwenzako. Siko tayari kwa accountable yoyote.
787-8 correction.png
 
Yeap!
walisubiri kitu 'meli' tukawaona wakishangilia. Leo tunajua tofauti
Tuliona wakiwa na mashada ya maua kupokea Boeing ya kukodi, sasa ni gofu
Tuliwaona wakishangilia zigo la mashine za Richmond likishusha DIA, leo wanajua
Tuliwaona wakishangalia radar kubwa southern Sahara, tukala nyasi

Yes wasubiri kitu ''Dreamer'' kama unavyokiita kitue DIA!!!

Mkuu
Nimeipata hii picha humu humu usinikabe kwa lolote kuhusu hii picha.
787-8 correction.png
 
Hoja ni kuwa ndege iliyotajwa na serikali sio ambayo mafundi wa Boeing Everett factory wanaifanyia kazi. series 787-8 hazijafika huko line 719., hii ya kwetu tumeambiwa bado kuweka engine. kuweka engine steps zifuatazo inabidi zifikiwe.
  1. Find buyer/receive order
  2. identify assembling facility between Everett and Charleston
  3. To be assembled
  4. Parts arriving to factory
  5. Undergoing final assembly
  6. Kwa terrible Teens (kufanya re-work): hizi zilishakuwa assembled muda mrefu sana.
  7. Engine mounting
  8. Production Testing
  9. pre-flight testing
  10. non-customer flight tests
  11. Completion of all tests
  12. Customer delivery
Ukitazama internal Boeing documents ndege pekee iliyoko kwenye hatua ya kusubiri kufanya engine mounting ni hii LN19

Hiyo LN719 hata fuselage na vifaa vyake havijafika kiwanda cha kufanyia assembly., na nikisema vifaa naongelea Fuselage(plane main body part). Kwa vyovyote vile waziri amedanganya, kwa sababu hata kesho wakiinunua Boeing 787 LN719. Amedanganya bunge kuwa tuko hatua ya kuchagua engine ya LN719, sio kweli.

fuselage.gif

kwa hili mbarawa akae pembeni, kwa kudanganya bunge au aombe radhi na kuweka wazi hili swala
Kimweri family 787 tayari wana order zaidi ya 1200, unakataa vipi kuwa hawajafika 719 ?
Line numbers zinahesabiwa kwa family nzima ya 787 na sio kila series peke yake, series zote tatu 787-8, 787-9 & 787-10 zinahesabiwa kwa pamoja kwenye line number.

Pili, serikali imetoa tayari maelezo kuwa wao wamenunua 787-8, LINE NUMBER 719, unakataa kwa kutumia blog tu ya mdau ambaye hana mamlaka yoyote, mbona kuna sites nyingine zinaonyesha hiyo 787-8, LN 719 inaenda Rwanda ?
 
Back
Top Bottom