Link: JK - CHADEMA

Sam

JF-Expert Member
Jun 6, 2006
415
89
Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea. Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA.
Sera ya Ajira
Serikali ya CHADEMA itatengezena ajiri nyingi na hasa kwa vijana, kivipi?

Tutaweka kipaumbele kuweka mazingira ya kuongezeka fursa za ajira
Tutatengeneza ajira milioni moja ndani ya mwaka mmoja wa utawala wa CHADEMA kwa kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii (walimu, madaktari na manesi).

Kwa hili naomba ufafanuzi toka kwa mwenzetu hapa JF Mh. Mbowe.

http://www.chadema.net/nyaraka/sera/ajira.php
 
Ni maendeleo ambayo ccm wameshindwa kuleta ndiyo watafanya kwa vitendo
 
leo chadema watakimbia hapa, wakigeuka kulia kuna sam, wakigeuka kushoto kuna kada, mbele kuna zemacorpolo, na wengine sasa tunafuatia.

kwi kwi kwi kwi, sijui watajificha wapi mwaka huu.
 
.....you don't know the person you are referring to........hapa ni hoja kwa hoja na sio ushabiki wa "wao" na "sisi"............again shuleee!!
 
leo chadema watakimbia hapa, wakigeuka kulia kuna sam, wakigeuka kushoto kuna kada, mbele kuna zemacorpolo, na wengine sasa tunafuatia.

kwi kwi kwi kwi, sijui watajificha wapi mwaka huu.

Samahani naomba kukuuliza swali. Una umri gani na una shule kiasi gani?
 
Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea. Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA.
Sera ya Ajira
Serikali ya CHADEMA itatengezena ajiri nyingi na hasa kwa vijana, kivipi?

Tutaweka kipaumbele kuweka mazingira ya kuongezeka fursa za ajira
Tutatengeneza ajira milioni moja ndani ya mwaka mmoja wa utawala wa CHADEMA kwa kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii (walimu, madaktari na manesi).

Kwa hili naomba ufafanuzi toka kwa mwenzetu hapa JF Mh. Mbowe.

http://www.chadema.net/nyaraka/sera/ajira.php

FIX TUPU HIZO, Ikiwezekana thread hii iende kwenye UDAKU. Kikwete hakukata tamaa kiasi hicho tusidanganyane hapa JF. Kama unataka kuandika sana jiunge kwenye magazeti ya UDAKU ili upate commision.
 
leo chadema watakimbia hapa, wakigeuka kulia kuna sam, wakigeuka kushoto kuna kada, mbele kuna zemacorpolo, na wengine sasa tunafuatia.

kwi kwi kwi kwi, sijui watajificha wapi mwaka huu.

Hata shetani naye hufanya kazi hiyohiyo....!
Ila magugu yakishakomaa na ngano yatang'olewa na kutupwa motoni ndipo kilio na kusaga meno kitafuatia.... Walianza Zambia, Kenya, Malawi, wanakuja Zimbabwe na NEXT is TANZANIA
 
Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea. Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA.
Sera ya Ajira
Serikali ya CHADEMA itatengezena ajiri nyingi na hasa kwa vijana, kivipi?

Tutaweka kipaumbele kuweka mazingira ya kuongezeka fursa za ajira
Tutatengeneza ajira milioni moja ndani ya mwaka mmoja wa utawala wa CHADEMA kwa kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii (walimu, madaktari na manesi).

Kwa hili naomba ufafanuzi toka kwa mwenzetu hapa JF Mh. Mbowe.

http://www.chadema.net/nyaraka/sera/ajira.php

Hii inaonyesha kwamba CHADEMA walikuwa na dira makini zaidi ya CCM.

Kwa ahadi ya CCM ya ajira milioni moja kwa miaka mitano ni sawa na ajira laki 2 kwa mwaka. Wakati watu waoingia kwenye soko la ajira ni zaidi ya laki 7. Hii inamaanisha kwamba hata Kikwete angetekeleza ahadi yake bado angetengeneza tatizo la ukosefu wa ajira.

Lakini kwa ahadi ya CHADEMA ya milioni moja kwa mwaka ni wazi tatizo la ajira lingepungua kama sio kuondoka kabisa.

Lingine ni kuwa maneno ya Kikwete ni kama vile serikali yenyewe ndio inatengeneza ajira. Wakati CHADEMA yenyewe ililenga katika kuweka mazingira bora ya kisera katika sekta tajwa.

That is the difference between CCM and CHADEMA. Difference between real plans and empty promises!

Asha
 
Jamani hebu tuwe wakweli kwa dakika, neither CCM nor CHADEMA wanaweza kuetengeneza kazi 1M kwa mwaka. Nilibishia hilo wakati ule namsupport Jakaya na nalibishia hilo leo.

Uchumi wa Tanzania can't sustain such a growth, kwa hiyo ni mathematical imposible.
 
Tell me how CHADEMA wataanzisha ajira million 1 kwa mwaka. Naomba stategic plan yao. Jee wataanzisha kwa kupitia serikali, Jee wataanzisha viwanda, jee wataashauri watu waajiajiri? How will they archive that goal?

Ni muda wetu sisi Watanzania kuanza kuhoji pindi idea kama hizi zinapotajwa. Nchi kama Tanzania haiwezi kumaintain growth kubwa kiasi hicho, the economy of Tanzania can't sustain such growth.
 
Kwa hiyo hata Jk mwenyewe anatambua kwamba CHADEMA ni kimbilio la walalahoi sio? Kwa kweli ni jambo zuri sana kama anaufahamu ukweli! Sasa na wewe shida iko wapi?

Ndio inawezekana kabisa kutengeneza ajira Milioni Moja kwani kwa kuangalia mapato pesa zilizopotea ktk utawala uliopita nahuu wa sasa,Richmond,IpTL,TANGOLD,KIWIRA,EPA etc jumla ya Bilioni 656 zingewekezwa kwenye Elimu,Afya na kuteneneza viwanda vya ndani,tungeweza kabisa kutengeneza ajira mpya karibia milioni moja kwani fedha hizo tungeweza kuzitumia kama dhamana ya kupata kiasi kama hicho zaidia ya mara tano kutoka IMF,WB na asasi zingine za kifedha za kimataifa
 
Ajira nyingi sana wanaweza kuzianzisha wengi wanafikiria ajira za maofisini la hasha...kuna nyingi sana za kujiajiri binafsi na zile za kuajiliwa mbona zinaweza kuzidi hata hizo 1m...kama kwenye kilimo,madini,biashara-wamachinga wengi sana wanaweza wakasaidiwa,machangu,vibaka,wezi[majambazi] nyingi mno hata kutaja hapa ni mlolongo mrefu sana.
 
Jamani hebu tuwe wakweli kwa dakika, neither CCM nor CHADEMA wanaweza kuetengeneza kazi 1M kwa mwaka. Nilibishia hilo wakati ule namsupport Jakaya na nalibishia hilo leo.

Uchumi wa Tanzania can't sustain such a growth, kwa hiyo ni mathematical imposible.

Ndiyo maana mara nyingi huwa nawaheshimu sana watu tuliotoka nao BCS. Tulikuwa tunapingana kwa hoja. Kwa watu mnaoamini kuwa ajira zinatengenezwa kwa hela kama uko nje ya nchi nenda benki chukua personal loan kama $50,000 halafu watumie ndugu zako bongo wajiajiri. Baada ya mwaka tupe feedback tutakuwa hapa bado. Kwa waliojaribu mnaweza kutupa feedback pia. Ajira millioni moja kwa uchumi wa Tanzania haiwezekani. Hata US haifikii kiwango hicho kwa mwaka na unemployment imefika 5.0% mwezi huu. Guys, let us talk the real issues not political processes. I need detail explainations of how you are going to create 1 millions jobs per year siyo kusema nitaweka hela. Kama kufua nguo nako ni ajira mimi nikiwa rais nitatengeneza zaidi ya ajira million 30 kwa mwaka, nitafuta kodi ya sabuni na kumpa kila mtanzania hela ya kununulia sabuni.
 
Jamani hebu tuwe wakweli kwa dakika, neither CCM nor CHADEMA wanaweza kuetengeneza kazi 1M kwa mwaka. Nilibishia hilo wakati ule namsupport Jakaya na nalibishia hilo leo.

Uchumi wa Tanzania can't sustain such a growth, kwa hiyo ni mathematical imposible.

Miaka Kumi nyuma kama ungemwambia mtu kuwa uchumi wa Angola unaweza kutengeneza ajira milioni moja angekwambia acha mizaha! Leo wametulia kasi ya kukua kwao kwa uchumi inaenda na ongezeko kubwa la ajira. Miaka 10 nyuma ungemwambia ka nchi kadogo kama Norway kangetengeza ajira nyingi na welfare ya kiasi walichonacho sasa cha kuwalipa hata wasiofanya kazi ungesema ni ndoto kabisa, leo wamegundua mafuta na wanayachimba vizuri wamefika huko. Kwa nini hatuamini kwamba Tanzania na rasilimali ambazo Mungu amezitoa tunaweza? Nini ajira milioni moja, kukiwa na sera nzuri ya kisiasa, kiuchumi na kijamii Tanzania inauwezo wa kubadili hata Maelfu ya Wamachinga kuwa wawakezaji. Inaweza kubadili Malaki ya Wachimbaji wadogo kuwa wenye kujitegemea. Na inaweza Kubadili Mamilioni ya Wakulima kuwa na kilimo cha ajira badala ya kilimo cha kupata na kura. It takes a mindset and a visionary leadership. Perhaps CHADEMA had that in mind. Labda tuwaulize wakina Kitila, Zitto na Mnyika waliojikoni. Wanafikirije?

This type of discussion ndiyo tulikuwa tunatakiwa tuwe nayo humu siyo sera ya kuchafuana majina na uropokaji. Unajua chama kama CHADEMA kinanyima kura na wananchi kutokana na kwamba hawaoni kitu ambacho wamefanya. Kitu ambacho tunaangalia toka kwao ni ubora wa sera na nimeshahoji mara kadhaa kuhusu sera zao bila kupata majibu. Wanachukua muda wao mwingi kuripua mabomu. Kama CCM imafanya madudu, we need to know watafanya kitu gani tofauti na CCM. Ukiniambia utatengeneza ajira kila mtu anaweza kusema hivyo hata JK alisema hivyo, anybody can say that. Ukisoma sera za CHADEMA ziko very shallow sijui ni nani aliziandika. Na ukisoma kwa makini utaona they share the same ideology na CCM hakuna tofauti. Kwa wananchi wa kawaida ni vigumu sana kukipigia kura CHADEMA. Sijui hata kama baada ya uchaguzi walikaa chini na kujiuliza ni kwa nini walishindwa.
 
Tuliambiwa kwamba kama JK angeshindwa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM basi angeamishia majeshi CHADEMA na Mh. Mbowe alikuwa tayari kumpokea. Mwanzoni nilishindwa kuamini kama huo uhusiano unaweza kutokea lakini sasa nimeanza kuamini kwamba JK aliombwa kuandika sera za CHADEMA.
Sera ya Ajira
Serikali ya CHADEMA itatengezena ajiri nyingi na hasa kwa vijana, kivipi?

Tutaweka kipaumbele kuweka mazingira ya kuongezeka fursa za ajira
Tutatengeneza ajira milioni moja ndani ya mwaka mmoja wa utawala wa CHADEMA kwa kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii (walimu, madaktari na manesi).

Kwa hili naomba ufafanuzi toka kwa mwenzetu hapa JF Mh. Mbowe.

http://www.chadema.net/nyaraka/sera/ajira.php

Hivi JK na upeo wake anaweza kuandika sera za chama mbadala...si zingetawaliwa na vicheko vyake vya kinafiki!!! Tafadhali ninyi!
 
Nilipokuwa ccm zamani nilidhani kwamba sera zao ni makini lakini baadaye niligundua kwamba kila inapofikia nyakati za uchaguzi ccm huwa wana copy sera za chadema na vyama vingine na kuzifanya zao. Nina ushahidi. Shida ni kwamba huwa hawazifanyii kazi kuhakikisha kama practically zinaweza kufanyiwa kazi. Kama nasema uongo wewe anzisha sera kwamba utachimba choo ya kijiji kwa kila kijiji Tanzania na uitangaze kwa nguvu na wanakijiji kwa ajili ya shida ya vyoo waonekane kuikubali; 2010 utaiona ndani ya ilani yao. ahahahahahahahah
 
Hii inaonyesha kwamba CHADEMA walikuwa na dira makini zaidi ya CCM.

Kwa ahadi ya CCM ya ajira milioni moja kwa miaka mitano ni sawa na ajira laki 2 kwa mwaka. Wakati watu waoingia kwenye soko la ajira ni zaidi ya laki 7. Hii inamaanisha kwamba hata Kikwete angetekeleza ahadi yake bado angetengeneza tatizo la ukosefu wa ajira.

Lakini kwa ahadi ya CHADEMA ya milioni moja kwa mwaka ni wazi tatizo la ajira lingepungua kama sio kuondoka kabisa.

Lingine ni kuwa maneno ya Kikwete ni kama vile serikali yenyewe ndio inatengeneza ajira. Wakati CHADEMA yenyewe ililenga katika kuweka mazingira bora ya kisera katika sekta tajwa.

That is the difference between CCM and CHADEMA. Difference between real plans and empty promises!

Asha

preachhhhh ! Naona unatumia maneno ya republicans ! ahadi ya chadema ya ajira milioni moja ingefanikiwa na ya ccm isingefanikiwa ndicho ulichosema angalau hukusema HOW ? kwani serikali ya ccm hadi hivi sasa unajua imetoa ajira ngapi tokea iingie madarakani ?
 
Serikali ya CCM imetumia zaidi ya Bilioni 200 za Richmond kutengeneza ajira kwa kikundi cha watu wachache wakati Serikali ya CHADEMA ingehakikisha fedha hizo zinatumika kuzalisha nishati ya kweli ya kulikomboa taifa. Huu ni mfano tu

Asha
 
Chama ambacho hakijui kinahitaji muda gani kuunda serikali kikitoa ahadi za muda unaohitajika kutengeneza ajira ujue ni porojo tu. Kabla CHADEMA hawajaanza kuongea porojo za kuunda ajira X kwa muda t ni lazima kwanza wafafanue wataunda serikali Y ( ya majimbo) kwa muda gani T?

Kama jibu hili halitolewi basi CHADEMA ni genge la opportunists tu na si chama chenye lengo la kuongoza nchi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom