BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,125
- Thread starter
- #41
Shukrani sana Mkuu. Huyu jamaa ana walakini mkubwa tu kwenye upstairs yake. Inashangaza kumuona jinsi asivyo na misimamo kwenye masuala muhimu na pia mwenye dharau kubwa sana kwa Watanzania wenzie hadi kufikia kuwaita wala vumbi.
Kuna Watanzania wengi wanaoishi Marekani na nchi nyingine za Magharibi lakini hawana ulimbukeni na dharau kama huyu jamaa dhidi ya Watanzania wenzie.
Utadhani ni yeye tu Mtanzania ambaye anayeishi US kwa ushamba wake na dharau anazozionyesha humu dhidi ya Watanzania wengine.

uko sahihi mkuu.
sidhani kama huyu jamaa yupo sawa upstairs.....a load of inconsistencies.
also ni mwoga wa showdown na watu wanaompa za uso (reasonably). mimi kanitolea michozi akinisihi nisiwe namjibu posts zake. nimemwacha!