Linapokuja suala la mahusiano wakomavu tuko hivi

Mwanasayansi Kalivubha

Senior Member
Feb 4, 2024
104
271
LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO WAKOMAVU TUKO HIVI 😊

1.Ukishindwa kutupenda tulivyo usidhani tutakubali kuishi kama utakavyo ili ndio utupende

2.Tuna muda na anayetupenda ila hatuna muda wa kupoteza kutafuta kupendwa

3 .Tukiachwa tunajua tumepewa fursa ya kupendwa kwingine.

4 .Ukija kama mpitaji hatukupi kiti bali tutakuhudumia kama mpitaji.


5 .Ukitusaliti tukagundua basi tunajua uko hivyo sema leo umeumbuka kwa sababu mbinu zako za kujificha tumezishinda uwezo.

6.Kwenye misiba tutalia ila kwenye mahusiano tukiachwa tutashukuru Mungu.

7.Tunaongea ukweli ili ibaki kazi kwako kutu tafasiri kukingana na uelewa wako na vile ulivyo.

8.Mahusiano sio sehemu ya ajira hivyo huwa tunaamini kwenye kusaidiana na sio kufanywa taasisi za kifedha.

9 .Tunasamehe vizuri tu ila sio lazima turudiane .

10.Tukigundua wewe ni limbukeni wa mapenzi basi tutakufunza kuwa mahusiano sio sehemu ya majaribio .

Mwanasayansi Saul kalivubha
Instagram @fikia ndoto zako
 

Attachments

  • IMG-20240227-WA0086.jpg
    IMG-20240227-WA0086.jpg
    98.8 KB · Views: 6
dah ni ataree..😋😋😃🔥.Mi nakula nyeto vibaya mno maana hata nikipata mtu huwa nakeshea akijitaidi sana siku mbili anakimbia mazima nabaki nakula nyeto mi sina uvumilivu sijui nimeumbwaje yaani mpaka najishangaa mwenyewe
 
Back
Top Bottom