Linah na jingles za clouds, shikamoo

Okay, wanawake wananukia vizuri, ngozi nyororo and they have soft body and voice that drive us crazy, lakini utakumu wa kule mahali tunao wenyewe man.
Ngoja weekend ifike tulijadili hili kwa vitendo.
 
Nilimuona Valentine day pale escape 1 walikua wanaimba live alifunikwa vibaya na Ruby,Alice na Maua Sama!Linah ni mwimbaji wa kawaida aliyepewa airtime na wadau wanaoamua nani atoke!kwa walioona lile Onesho la valentine wamenielewa
Kati ya ruby, Maua na Alice nani alifunika zaidi, maana hizo mtu 3 mmmmh
 
Kati ya ruby, Maua na Alice nani alifunika zaidi, maana hizo mtu 3 mmmmh
Dah ngumu kujudge lakini nadhani Ruby alitisha zaid ila Linah walimuacha mbali kuna wimbo wa copy aliimba unahitaj kupanda saut alitia huruma almanusra awike she is overrated
 
Wimbo mzuri, lakin video hapana kwa kweli,
Kama alivyosema mdau hapo juu, angevaa kiutamaduni angenoga zaidi,
Hata hao malkia wa nguvu wenyewe hawajanibamba.
audio mzuri japo video ipo chini ya kiwango. Kafata nyayo za ALLY KIBA Kwa kutoa video ya kawaida wakati nyimbo nzuri...
 
Back
Top Bottom