Limbwata limekolea hapa

Ata kama ni kusaidia malezi mwanaume uwezi kubeba mtoto hivyo na kubeba pochi ya kike kabisa.Uyo atakua na walakini.
 
Hata mimi nimelea watoto bila mama lakini sikuwa nawabeba hivyo. Hapo amezidisha. Kwani mtoto ni lazima abebwe hivyo pamoja na mfuko wa akina mama mkononi? Mbona mwanaume akiigiza kusema au kutembea au kujiremba kama mwanamke tunamcheka?
 
kubeba mtoto na khanga sio tatizo,tatizo ni ilo begi la kike na ilo pozi lake halafu amejitega kbs kupigwa picha
 
IMG-20160110-WA0019.jpg
wababa wakiachowa watoto..............
 
Hakuna cha limbwata hapo, ni kujitambua tu kuwa unaweza kumbeba mwanao kwa stail hiyo na ukabaki kuwa baba.
Shida sio kubeba mtoto shida ni jinsi alivyobeba mtoto, wewe kama unabeba mwanao hivyo OK, hiyo ni wewe, lakini sio sahihi kwa mwanaume kubeba hivyo PERIOD.

2ADFE5D200000578-3176134-Father_son_time_The_42_year_old_held_his_toddler_son_in_one_arm_-a-2_1438008639476.jpg



Wala sio kama hivi.

images
 
siku hizi haki ni sawa.... sio ooh mwanaume suruali hana hela (sawa wababa nao wanafanya kazi zilizo dhaniwa ni za kina mama, na kina mama nao wafanye kazi wanazo dhani ni za kina baba )

Hheheheheee sorry, ila akili yangu imewaza kazi wanayofanya kina baba ni kutia watu mimba..... ambayo kina mama ndo waifanye au kukupa mzigo na kukususia nao na kuukataa au kuukana kama ni wake...
 
Back
Top Bottom