Lijue Jiji la London

5. Hadi mwaka 1994 hakukua na barabara yoyote kwenye Jiji hili na hata sasa kuna barabara moja tu Goswel Road ingawa kuna vichochoro vingi sana vya waendao kwa miguu na njia za umma hazikuitwa barabara hadi mnamo karne ya 16
Wengi hawajakuelewa hapa, ni kwamba njia za magari zao hawakuziita ROAD....waliziita lanes,streets etc.
 
Bila kutaja Oxford Street hujaitaja London

shopping-time-oxford-street-london-sep-view-september-major-road-west-end-uk-europes-31405646.jpg
 
Duh,kuna sehemu huruhusiwi kusalimia watu!sijawahi kusikia hebu tutajie hizo sehemu.
wala huhitaji hata kujua sehemu unahitaji tu kujua context za norms, si aghalabu sana kwa capitalist countries kua na greetings norms kama socialist na hii wala si huko hata baadhi ya nchi kama SA ukienda unachagua sana wa kusalimia kwani nimeishi pia huko
 
Bila kusahau London Eye....hili dubwana linazunguka taratibu unaweza usijue kama linazunguka mara unajiona uko juu unaiona London yote, inataka moyo! Huwezi kutaja vivutio vya London bila kutaja hili duara.
1179508017_80.177.117.97.jpg

Hivyo viduara hapo juu ndio watu mnakuwa humo ndani, kama picha ya chini hapo....
london-eye-at-dusk-003.jpg
 
Back
Top Bottom