Huyo mama ni giza tupu na hawezi kuleta nuru hata wamsifie vipi ni giza tu.Kabsa na wanafanya hivyo kwasababu huyo bibi kizee kila wiki anakuja Arusha
😂Akija anashukia mahotel ya kifahar kwa akili zake ndogo anaona jiji limeendelea!!!
Ndo hivyo hajui chochote
Arusha jengo la posta juzi kati , bunge la East ? Nyie ndio mnamaliza pesa kwa kujengewa majengo daily ..Bado serikali inajenga uwanja mkubwa wa mpira ,kuna halls na supermarket zipo kweny plans za kujengwa kwa ajili wa utalii.Mfano jengo gani!?
Wewe akili zipo sawa?? Hilo bunge serikali ndo imejenga? Hilo jengo serikali tu ndo imejenga?Arusha jengo la posta juzi kati , bunge la East ? Nyie ndio mnamaliza pesa kwa kujengewa majengo daily ..Bado serikali inajenga uwanja mkubwa wa mpira ,kuna halls na supermarket zipo kweny plans za kujengwa kwa ajili wa utalii.
Hili jiji linaongoza kwa ubadhirifu wa fedhaMvua ikinyesha hilo soko la kilombero na Samunge ni tope utadhani wapo kwenye bwawa...hiyo Stand ya hiace hapo Kilombero haieweleki ila ushuru wanachukua kila siku ukishuka huko Majengo chini mvua ikinyesha maji yanasambaa bara barani wameshindwa kujenga mitaro mikubwa kidogo sijui huko Jiji shida nini..