Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,381
- 4,356
Unabwabwaja kama bata, umeambiwa mbona hajalaani mauaji ya innocent civilians huko Tanga na Mwanza? Au hujaelewa!LHRC kwa sasa ndiyo NGO pekee inayosaidia wanyonge kwenye mswala ya kisheria. Ukitaka ushahidi tembelea vituo vyao makao makuu na mikoani uone watu wanavyotetewa bure kuanzia kwa waajiri waonevu, kesi za kubambikiwa za jinai, wajane wanaodhulumiwa mirathi, kesi dhidi vyombo vya dola vinavyonyanyasa wananchi n.k. kwenye siasa ni lazima wapige kelele iwapo demokrasia inapuuzwa. Ulitaka wafanye nini zaidi? CCM kubalini kukosolewa kwani nchi hii ni yetu wote na hata inawezekana wengi wanaotetewa na shirika hili wengi ni wanachama wenu.