Leo Zingatia Haya Wakati wa Kuchaguana Ili Kupunguza Kero na Taabu.

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
6,181
10,465
Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU.

Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye fungu la kupata mahusiano yenye furaha.

Vijana wa Kiume Zingatieni haya hapa wakati unatafuta she wa miaka hii.......
✍ Malezi ya mtoto wa kike ni muhimu kupata walau historia ya makuzi yake kwa wazazi/walezi.

Asikudanganye mtu hakuna msingi bora kama malezi mazuri kwa watoto mpaka wanakua, taka kujua alituzwa vipi na wazazi wake, jiulize haya mtoto alifundishwa kusalimia wakubwa, aliheshimu kuwa nyumbani kwa wazaz, aliwasikiliza wazazi, wazazi walilia kwa ajili ya tabia za mwanao, wazazi wamefurahi kuutoa mzigo mzito kwako.

kuna ile mzaz anasema asante yesu wangu wacha akapate adabu kwa mume (kumbe wazaz hawajui wanaume wa siku izi ni wadhaifu, sisi wanaume ndo tunaenda pata adabu) πŸ˜…πŸ˜…

✍ La pili ni wewe mwanaume kuangalia uhusiano mzuri na wazazi wake mpaka hapo alipofikia. Ameweza vipi kumheshimu baba na mama yake mpaka sasa au walezi wake mpaka sasa, hii itakupa picha ya wewe kujua ni vipi atavo weza kuja kusocialize na wewe na kujua usikivu wake na utii wake...

✍ Utayari wake na Lengo lake mwanamke Je anakubali kuishi na mwanaume kwenye shida na raha hata awe kwenye mapito magumu.

✍ Mwisho mwanamke awe mtiifu na kusikiliza mazuri utayomwambia.

Kwa Upande Mwingine Vijana wa Kike Zingatieni haya hapa wakati unatafutwa na Men wa miaka hii.......
✍ Akili na Upeo wa mwanaume, hii ni pamoja na utambuzi, uelewa, mtazamo, utulivu wa mwanaume, mwanamke utatambua haya kwa kumwangalia mwanaume anavo wasilisha mambo yenye utimamu kwa utulivu na busara. Kiufupi mwanamke utahitaji mwanaume aliye smart kiufahamu (sijazungumzia akili ya darasani au mwenye kujua kusoma bibilia, hapa kinadada muwe makini)......

✍ Mwanamke jaribu sana kujua mwanaume wako ni mtu wa makundi au laaah.

hili litakupa picha utaweza kuwa na mwanaume wa aina gani....mfano kuna makundi ya uhuni wa mademu, kundi la kamari, kundi la pombe yaan wapanda juu ya meza, kundi la vijiwe vya umbea....epuka mwanaume anayetokea from that family gang.

✍ We mwanamke Epuka mwanaume mwongo asa mwenye maneno mengi....hapa siongei sana wanaume waongeaji sana wenye plan nyingi huwaponza wadada sana kwani wengi pia huwa sio waaminifu ni matapeli wa mapenzi.

Sifa kubwa ya mwanaume duniani kote huwa ni ukimya.

✍ Epuka mwanaume Mjuaji na mlazimishaji kila analopanga liwe upande wake.....uzuri dada zetu wa siku hizi tunawapeleka shule, tumieni shule zenu kujua mwanaume mnyanyasaji, wapo wanaume wanaotumia uongozi wao vibaya.

Asanteni wote mnaotafutana mkizingatia haya tutawapinga wale jamaa wa kataa ndoa na point tutabeba sisi kubali ndoa.
CHAMA CHA KUBALI NDOA
(CHAKUNDA)
 
Wahenga walisema"Mapenzi hayana muongozo"...Nilienda mbali nikataka nielewe kwann nikakuta sababu ni kwamba unaweza pata mtu akakuigizia maisha sio yeye,sio familia sio marafiki n.k na tabia kamili utamjua kipindi baada ya Ndoa(Au baada ya kuingiza miguu yote miwili).

Msingi ni mmoja mtumaini Mungu akupitishe njia sahihi na utatoboa
 
Si ajabu na wewe ulieandika mapenzi yanakufanya vibaya..
 
Hizi zote ni blah blah tu kwa mapenzi ya sasa inajulikana mwanamke anataka security, mwanaume anataka shimo la kumaliza nyege zake. Hapo katikati kwenye kudanganyana danganya kwamba mnapendana ndipo kila mmoja anatakiwa kuji-adjust kitaalamu
 
Muhimu kujua tofauti ya X na kuzidisha βœ– na kuna msalaba ♀️ na jumlisha βž•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…