Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
mi namkubali youngkiller kwa sababu young dee ni mkali kuliko wote hivyo dogo janja ndo anakimbiza
 
Unajua maana ya role model? Unajua Young D ameanza mziki lini? Kwa kukusaidia tu Young D ameanza kusikika miaka ya 2006 hivi wakati dogo Janja kasikika mwaka 2011, sasa iweje huyu wa 2011 awe role model wa huyu wa 2006?


Ma alosto tu wote hao. Lete poll ya wanamuziki wa ukweli.
 
Young D ana swagger za kisuperstar anawakimbiza hata mastar wakubwa tu hapa bongo flow yenye ladha ngoma kali

Young killer ni mwandishi mzuri sana

Dogo janja ni msoma ramani ameweza kulisoma soko na management nzuri so sokoni anakimbiza kiki za social media na back up ya Madee huko huko kwenye social media
 
hawa madogo wote wako vzuri lakin wakat unaweza bishana kuhusu nani ni wa kwanza kati ya Young D na Young Kila, Dogo Janja ni lazima awe wa mwisho hapo.

Young kila nampa heko ya utungaji wa mashairi mazuri kuwazidi wote. maswaka ya vina na urari wa mistari anayaweza.

Young D, nyimbo zenye swaga anaziweza, huwa naskilizaga nyimbo zake kwa stail yake huwa sizichoki. mfano kijukuu, Boma la utete, dada anaolewa etc.

Dogo Janja, huyu ni mjanja mjanja tu hivo hivo, ila ki muziki hawawezi hao jamaa wawili hapo juu. japo si mbaya pia

Maswala ya kuvaa sjui, hayo mi siyawezi, au nani anapiga show kali hayo nayo siwezi, nani anaishi ki super star of coz dogo janja na Young Kila wanajielewa kuliko Young D sjui huwa anakula maharage ya wap Young D anaishi hovyo hovyo sana.
Naona kama umeshafunga mjadara.. Umefafanua vizuri kabisa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom