Leo tukate mzizi wa fitina: Nani mkali kati ya Young D, Young Killer na Dogo Janja?

NANI MKALI?


  • Total voters
    27
  • Poll closed .
1. Youn Killer
-Real hip hop artist... flow ambayo unasikia maneno na ujumbe unaupata bila chenga.
-Anaingiza mkwanja kuliko wote (ana endesha maisha yake mwenyewe anaishi kwake na demu wake mkali)...familia yao inamtegemea
-Hana mambo mengi yasiyo ya maana.
-Yupo serious na mziki wake.
-Anajua anachokifanya.
-Hana manajimenti nzuri angelikua mbali.
-Anavaa vizuri bila mvalishaji.
-Makundi(ustar) hajambadirisha
-Anajua kumiliki jukwaa na kusepa na kijiji
2. Young D
-Ana flow moja kali inayotembea na kila beat.
- Rapper mjanja mjanja.
-Ana kula poda.
-Ustar unampa shida sana kuendesha maisha yake.
-Bado ana akili za kitoto akikua zaidi atalijua ilo.
-Alikua kwenye management moja nzuri na alifanya vizuri pia hata kingcash anaweza fanya vizuri kama akiwa serious na kurekebisha yaliyomtoa kwa max.
-Ana vaa vizuri tena alivyompata Qboy msafi nadhani atatisha kuliko wote.
-Kipato anazidiwa na killer(anashindwa kumhudumia mtoto wake)...mpaka mama wa mtoto kaenda fanya kazi apate kipato cha kumlea mtoto hili pia linanipa nafasi ya kusema bado mtoto
-Anaishi local sana max alimweka pazuri hili pia linanifanya niseme hana pesa kuliko killer mwenye kwake na gari lake kuna kipindi aliibiwa simu hakuweza kununua on spot hii pia inanipa shaka na kipato chake.
-Anajua kumiliki jukwaa na kusepa na kijiji
3. Dogo Janja
-Yupo kwenye management nzuri inayojua biashara ya mziki.
- Hajui nachokiimba.
-Uvaaji ka improve siku za karibuni ila keshakua na kauli chafu kwa wenzie kuhusu uvaaji nadhani ili ni tension ya wimbo mpya.
-Kipato kiko chini ya Madee na Tale so mkwanja wake hauwezi lingana na killer.
-kumiliki jukwaa ma young wote wanamzidi so hawezi kumiliki jukwaa.
Ntaendelea mida kuwachambua wote tena
 
Umewachambua vizuri sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…