Leo Serikali inatarajia kutoa Orodha ndefu ya Majina ya waliotengeneza vyeti fake

Daah
Kumbe hapa napaka rangi upepo,,yaani kumuondoa kazini mfanyakazi aliefoji cheti cha taaluma wewe unaleta stori za redundancy na kushindwa kuwalipa wezi mafao,,tokea lini mhalifu akapewa tuzo,,shame!! Nafahamu hapa sasa najibizana na mtu wa aina gani.
 
Kama serikali imetaka kweli kuondoa waliofoji vyeti, mbona Mkuu wa Mkoa wa Dar hajaguswa?

Mbona wakuu wa mikoa na wilaya hawajaguswa?

Mbona wanajeshi hawajaguswa?
 
Ila huu ni uozo tokea Nyerere mpaka Jk,kazi nzuri kwa JPM,tatizo anabagua why wengine hawakaguliwi ?Bashite mpaka leo anadunda tu.
Kinachotafutwa si kuondoa wasio na vyeti vya kweli.

Serikali haina hela inataka kupunguza wafanyakazi bila kuwalipa mafao.

Wangetaka kuondoa wasio na vyeti real wangemuondoa Bashite, zoezi lingefika kwa wakuu wa mikoa na wilaya, mpaka majeshini huko. Kuna watu kibao wana vyeti feki lakini hawataguswa.
 
Kuhusu Vyeti fake Serikali kuu mbona kimya!!? Wizara mbalimbali? Au yalishatoka Mimi tu huku kijijini ndiyo sijasikia?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…