Leo October 7..Ni siku ya Kuzaliwa Mh Raisi Jakaya Mrisho Kikwete

HAPPY BIRTHDAY JAKAYA leo Oct 7.

Basi mie siku zote nilikuwa nadhani kuwa birthday yake ni April 1.
 
mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni miaka 70, hongera mkuu kwa kufikisha 64
 
Chini ya SLAA hakuna Tanzania , kuna koloni

dr-slaa-alabama12.jpg

Happy birthday Mr. President!!!! Shirikiana na hasimu huyu na utafanikiwa!!! Wanakudanganya watu kwa lengo baya, uaibike wao wabaki wananong,ona!!!! CDM ina mawazo mazuri kwa maendeleo ya nchi yetu!!!! Usiwaogope.
 
Happy day yako leo Mungu akuongoze husisaini Katiba ya Kichina uje ushhudie mweleka wa Ccm kama mtamsimamisha MaMvi na Dr wa ukweli tunaomba kampain manager hawe Mwigulu
 
Azidi kuwa na nguvu na maisha marefu ili ashudie ccm ikipotea na kufa mithili ya barafu jangwani
 
Leo tarehe 7 October 2013 ni siku ya kuzaliwa Mh Rais....

Tumia Fursa hii kumwambia lolote....

GO9G5876.jpg


images
J.K

Happy Birthday Hon, President Jk. Kutaka suluhu kwa kuzungumza na wapinzani umedhihirisha kuwa umejaliwab busara, maana ulichomwambia Kagame umekifanya kwa vitendo. hongera saana Mr president.
 
Happy birthday mkuu president, ila kumbuka wenzio tunashindwa kusherehekea birthday zetu kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi inayosababishwa na ungozi mbovu wa ccm.
 
Back
Top Bottom