Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,818
Habari zenu wana Jf wote ambao mmepitia uzi huu ili kujifunza ku_download game la grand_theft_auto_city kwakifupi mnaita (GTA) sasa kama hufahamu gta unaeeza kucheza katika simu ya android toa shaka katika hilo leo weka asilimia %100 kuwa unaweza licheza katika simu yako ya android.
ila sio tu kwamba unaingia playstore kisha una install hapana zipo njia zakufanya kuhakikisha umepangilia data fresh kabisa ili uenjoy maisha katika ulimwengu huu wa digital sitakuwa muongeaji sanaa twende pamoja.
kwanza unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo
ila sio tu kwamba unaingia playstore kisha una install hapana zipo njia zakufanya kuhakikisha umepangilia data fresh kabisa ili uenjoy maisha katika ulimwengu huu wa digital sitakuwa muongeaji sanaa twende pamoja.
kwanza unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo
- simu ya android/smartphone
- Mb 300
- simu iwe na charge % 10/15
- simu iwe na nafasi ya Gb 1 au uwe na memory card
baada ya hapo nitafanya nini?
Ukishakuwa nahivyo vitu chakufanya ingia operamin search grand_theft_auto_city Mb 200 kisha download hilo file likiingia hilo file nenda playstore download app inaitwa zarchive ikiingia hiyo app ifungue kisha nenda sehemu iliyo andikwa downloading kisha utalikuta lile file la gta kisha uta, click (bofya) utakuta neno limeandikwa exactly here utabonyeza hapo utasubiri dakika kama tano ili file liji exactly kisha likisha maliza kuji exactly utali hold kubofya kwa kukandamiza bila kuachia kama sekunde kadhaa kisha utaona neno limeandikwa cut utabonyeza hapo kisha utaenda katika sehemu imeandikwa android data utaingia hapo uta paste hapo kisha utabonyeza hapo kwenye hilo file ulio paste kisha utaona kitu limeandikwa install uta install ukimaliza funga data kisha utakuwa umemaliza kuweka data fresh kabisa sasa enjoy maisha ya kidigital ili uende na dunia sambamba