Leo nimeamua kuwachezesha Traffic.

Mkuu; Hesabu maalum kwa mwanajeshi yeyote yule ni: 1, 2, 3, 1 . Hayo mengine ni ziada tuu.
Sasa wewe unakwenda kwenye mabilioni? Huo si ni uonezi ?
Thead inazungumzia polisi sio wanajeshi! Kwani wanajeshi wanafanya kazi ya usalama?
 
Mimi kama askari barabarani,nashukuru sana kuiweka hapa hiyo leseni yako na kuanzia Sasa nitaanza kukagua taratibu hadi niipate hiyo leseni ili nikubambike makosa.maana Kwa uzoefu wa kazi yangu nimegundua magri ya watanzania ni mikweche(ya kimasikini)yaani Kila gari linakasoro nyingi.sasa wewe goja niipate hiyo leseni utanijua nitakavyokukomoa hadi utakauza hako kamkweche Kako.
 
Back
Top Bottom