Leo ni uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar, wana UKAWA dua zetu ni muhimu

Status
Not open for further replies.
Prince....
Umenifanya nikakimbilia TV harakaharaka,ila nimechelewa.
Nimeona kupitia habari za saa ITV.
Nashindwa hata kutabiri chochote,ila tukishinda nitafurahi sana.
Princess. Itakuwa Mazinga umbwe ya Karne. Kwa hidadi hii ya wajumbe wa UKAWA 87 na Chama cha rangi ya Mboga Mboga 76 Alafu itokee 76 wawa shinde 87 itakuwa bonge la ukalumanzila.

Nahapo ndipo watanzania tujiulize, kama sarakasi hizi ccm inamaujanja ya michezo ya nyuma ya panzia na ikafanikiwa! Kwanini ujanja uo wasiufanye kwenye kuwaletea wananchi maendeleo?
 
Haki haipiganiwi kwa mbinu za kigaidi! Gaidi hachagui wa kuua! Ccm watakufa na wapinzani watakufa!, watoto watakufa na wanawake watakufa! Vijana watakufa na vikomgwe watakufa! Bomu la gaidi halichagui mhalifu! linachagua kuua! Mkeo atakufa na wa kwangu atakufa! Maafa yote hayo kwa uhalali UPI?
Labda MKUU ungetembelea nchi kama Syria, Iraq, uturuki upate kujionea madhara ya ugaidi halafu urudi hapa utupe mrejesho!
wewe ndio umetafsiri hivyo , inawezekana ndio uwezo wako ulipoishia , sasa tafsiri yako isifanywe ya kimataifa .
 
Shostito Nifah habari ndio hiyo...ndio maana jana Siro kasisitizwa sana zaidi ya mara mbili kuwa "Atakayeshindwa uchaguzi akubali,kamanda Siro kasimamie ule uchaguzi,narudia tena kasimamie ule uchaguzi,nadhani umenieelewa"
Mhhhhhhhhh
Ni majaliwa ya Mungu tu ndiyo yatakayotupa ushindi.
 
Princess. Itakuwa Mazinga umbwe ya Karne. Kwa hidadi hii ya wajumbe wa UKAWA 87 na Chama cha rangi ya Mboga Mboga 76 Alafu itokee 76 wawa shinde 87 itakuwa bonge la ukalumanzila.

Nahapo ndipo watanzania tujiulize, kama sarakasi hizi ccm inamaujanja ya michezo ya nyuma ya panzia na ikafanikiwa! Kwanini ujanja uo wasiufanye kwenye kuwaletea wananchi maendeleo?
Hili hata mimi nimehoji.
Nitashangaa sana endapo CCM watashinda.
Je watatupa sababu gani?Ina maana kuna wajumbe wa UKAWA ambao hawamkubali mgombea wao?
 
Kwamba amesubiri mpaka uchaguzi bandia wa Zenji upite wajitangazie ushindi ndio akumbuke ishu ya wa Tanganyika Dar es Salaam
Kwamba kila mshinda na mshindwa wakubali matokeo hata kama ni ya kupikwa?
Hali ilivyo ni kama kuwapoza UKAWA baada ya kuwanyonga kule Tanganyika visiwani...!
Kuna mitifuano inakuja huko mbele na hizi hesabu za kitoto zitawatoa jasho
So kwa uelewa wako wa katiba na sheria zetu za uchaguzi rais angebadilishaje maamuzi ya ZEC? Vitu vingine muache kutupia lawama kwa mtu asiyestahili. Badala ya kumlaumu Jecha kwa kutumia uhuru wa ZEC vibaya unakimbilia kumlaumu Magufuli asiyehusika na mambo ya ZEC.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom