PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 799
kamatunavyo jua wakiristo wanadai yesu ni mungu naleo inasemekana ndio siku aliozaliwa yesu
naleo wakiristo wanasherehekea barth day ya yesu
mimi sinamengi yakusema zaidi yakuwatakia herí ya siku yakuzaliwa kwa mungu wao yesu kiristo mwana wa mama Maria (bikra)
sikukuu njema wadau😁😁