Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.

1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.

2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.

3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.

4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.

5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.

Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Namba 4 & 5 kama zinabeba ujumbe mkubwa wa Siri!
 
Lazima awe intelligent zingatia yafuatayo.

1.Alikuwa bosi wa muhimbili yote.
2.Alikuwa Dr wa baba wa taifa.
3.Yupo umweweni mpaka Leo.
4.Alikuwa waziri wa afya.
5.Ni profesa wa kusoma sio desa.

Je atakuwa kilaza?
Hakuwa Mkurugenzi wa Muhimbili yote bali Mkurugenzi wa Administration.
Mkurugenzi wakati huo ni Prof Mgaya au Mbaga ambaye Ali take over from Prof Sarungi, na baada ya Hapo ni Prof Shija etc .
 
USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.

1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.

2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.

3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.

4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.

5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.

Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Kuhusu maendeleo ya Jimbo, nafikiri alikuwa anawaza ki haki haki , na kwamba serikali itafanya inachotakiwa bila yeye kutumia influence yake.
Ndio maana siasa ilimshinda
 
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki licha ya kuwa bado mbunge wa Rungwe Magharibi. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.

Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa.

Wakuu niwieni radhi. David H. Mwakyusa siyo mbunge. Google wikpedia imenichanganya. Wanabidi waupdate. Kwasababu wameandika hata David Mwakyusa ni incumbent.
Huyu ni miongoni mwa wale maprofesa wa Muhimbili waliopeana uprofesa kwa mtindo wa "annual increment" bila kuwa na PhD. Hana PhD huyu, lakini ni profesa! Wenzake kama yeye ni pamoja na akina Sarungi, hata huyu Mkurugenzi wa sasa wa Muhimbili anaitwa Museru na wengine wengi wa Muhimbili mnaosikia wakiitwa maprofesa hawana PhD. Wapo wachache wenye PhD, hasa wale waliopitia mkondo wa social sciences (kama vile Dr Semakafu, mwalimu wa DS) na wale wa maabara (hasa upande wa madawa, yaani pharmacy). Wale wa tiba waliamua kujikweza na kujiwekea kasheria kao ka annual increment, unapanda cheo kila baada ya miaka 3 hadi unakuwa profesa!
 
Huyu Mzee anaheshimika sana halafu mkimya sana.
Kuna hafla fulani tuli hudhuria Jumba jeupe huyu Mzee alikuwepo, ilikua kipindi cha kaka Ben.
Asee Mawaziri na wazito wengine wao ndio walikua wanamfuata kumpa mkono...yeye hana shobo.
 
Kuna wilaya moja tu ya Rungwe yenye majimbo mawili ya uchaguzi - Rungwe (awali Rungwe Magharibi) na Busokelo (awali Rungwe Mashariki) kama ulivyobainisha. Busokelo ni halmashauri tu ndani ya wilaya ya Rungwe, si wilaya!

Na kwahiyo wilaya ya Rungwe ina halmashauri tatu: halmashauri ya wilaya ya Rungwe, halmashauri ya Busokelo na halmashauri ya Mji Mdogo Tukuyu.

Back
Top Bottom