Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

Wakati mwingine Mh. Rais Dakta Samiah S. H. awe ana kataa mialiko,si kila mwaliko uhudhurie. Kuna mambo mengi ya kitaifa yanamuhitaji, akitaka trending ya kweli na ya haraka,awe anafanya ziara za kikazi mikoani na awe mkali kwa watumishi wazembe..!
 
Back
Top Bottom