Kumbe tupo wengi. Dictator uchwara.Mimi nimeamua kuangalia Enews kuliko kumuangalia Dictator.. ...
Hawa tangu awamu hii wako hivyo- hovyo wala sio kuwa wamenadilika leo. Tv za hovyo hii inaongoza baada ya TBCCMKweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
Yote yalionekana mchana! Bora wamerudiaKweli lazima heshima iwepo hongera Rais kuturudisha kenye mstari. Leo taarifa ya habari ITV kama kipindi malumu. Kumbe inaezekana kuwa na taarifa ya habari yenye tija kwa Taifa.
Habari haina mvuto kabisaaaa, mtu anaongea utafikiri taifa lipo kwenye maombelezo ya kitaifa.Sijaangalia....imekuaje leo kwan
Vice versa is true " CCM wao hawatoi matamko tu sijui hayajafika mangapi mpaka jana, asante bashite"Chadema Wao wanatoa Matamko tu sijui yame fika mangapi mpk Leo.. Asante magufuli
Jamaa yako anataka vyombo vya habari vyote viweke mambo ya serikali tuchotera na siku akiwa hana habari,wasipomuonyesha ila wakannyesha maandano ya wakulima,atawafanyaje?
Kama mtu anaumia kwa kutokuandikwa for a day,hivi huyu asipoandikwa for a week si atapararalaizi!
Ahahaha!dah
Rais wangu achana na hizi petty issues!