Leo almanusra nivunje miguu ya shoga ugenini

Hujanishawishi, dume zima!! Kuna ya kusema hujafa hujaumbika, lkn hili hapana. Ni uvivu wa kufikiri tu,na uvivu wa kazi MTU anaamua kubadili uumbaji wa Mungu.
Hata wanaowatia mashoga ni watu ambao wanatakiwa kupimwa akili
 
Tatizo ni imani zenu ila hivi ndio hali halisi hawa watu wapo tena wengi kama walivyo Malaya na watoa mimba HV ni kuheshimiana na kila MTU ana imani yake katika kuishi katika hii dunia
 
Mmmmhhh basi nisamehe na nimekuelewa
 
Ni binadam nao tuheshimu hisia zao na wewe shukuru hujawa hivo hujafa hujaumbika
Wapuuzi km wewe ndio chanzo cha kuimarisha utawala wa shetani eti hujafa hujaumbika who told you to be a gay is an accident ?yaaani huna hata aibu unatetea laana kenge wewe ningekuwepo wakati unaandika upuuzi huu ningekutoa meno yote ya mbele bata wewe
Wako kibao mitaani ila ni mwenyeji wa mtaa huu,amevamia tu alikuwa na hamsini zake. Ving'ang'anizi hao ukiwa na roho nyepesi unaweza kwenda jela. Hawataki kuwa na kapani na wanaume
 
Kwani ni una hasira wakati yapo na yataendelea kuwapo kama hujasoma sayansi bora ukae kimya hali hii IPO duniani kote
 
Wapuuzi km wewe ndio chanzo cha kuimarisha utawala wa shetani eti hujafa hujaumbika who told you to be a gay is an accident ?yaaani huna hata aibu unatetea laana kenge wewe ningekuwepo wakati unaandika upuuzi huu ningekutoa meno yote ya mbele bata wewe
Ni jinsi walivyo kwa nini kuna maalbino ndio ujue duniani kuna mengi ya kujifunza na usome sanaa ndio utajua ukiwa mbishi na hasira huwezi elimika
 
Hawa jamaa wa South Africa siwaelewi maana ushoga hapa umefikia mahali mpaka mwanaume anatolewa mahari kisa "anaolewa" na jianaume jingine.
 
Ni jinsi walivyo kwa nini kuna maalbino ndio ujue duniani kuna mengi ya kujifunza na usome sanaa ndio utajua ukiwa mbishi na hasira huwezi elimika
Nimesoma bios kuliko uijuavyo wewe until now nipo class nafanya ivo nilisoma psychology sanaa naishi kwny nchi yenye physical culture ushoga hauna uhusiano wowote na bios isipokuwa watu wakikengeuka then wakipata sympath ya mitazamo chanya juu ya uchafu wao ndio wanapata nguvu ya kudai haki zao
 
Shida yako nini kama wewe mzima na hujaathirika na hili basi waache wenye mihemko hiyo waishi maana nao ni binadam wana haki ya kuishi ndio maana nchi zilizoendelea kuna sheria za kulinda minority rights
 
hao huwa wana aina ya kipigo chao yaani havimbi wala hapati internal bleeding ila amechapika,akilia unamfungaa shat mdomoni kelele isitoke
 
Shida yako nini kama wewe mzima na hujaathirika na hili basi waache wenye mihemko hiyo waishi maana nao ni binadam wana haki ya kuishi ndio maana nchi zilizoendelea kuna sheria za kulinda minority rights
Una ndugu wewe?una watoto ?una wadogo? Unajua hata hawa unawatetea walisababishwa na nini mpk wakawa walivo? Hawa unawasimamia Leo wakipata huo Uhuru watamshawish mtoto wako nae awe shoga sasa nadhani yakikufika ndio utapata akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom