Lengo la Zitto ni kupata wafuasi toka UKAWA

Ukawa itapukutika taratibu taratibu wasipokuwa makini. Maana sasa zitto amewafunika kwenye mitandao.
 
Mimi ni nonpartisan lakini obviously mleta mada ni mfuasi wa CCM. This is purely a classical propaganda !!
Ukweli hujionesha wenyewe. Wewe angalia tu jinsi zitto anavyowafunika ukawa.
 
Zitto anajaribu kuzichanga sana. Lakini wale wenye jicho la tatu tumeona.

Kwa kuwa UKAWA wapo na namna yao ya vipi wafanye siasa. Zitto anajifanya yupo pamoja nao na huku akijitahidi sana kupaza sauti kwa guvu ili aonekane yeye.

Ukiangalia kwa juu juu utadhani kuwa zitto anashindana na Rais lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua zitto anataka kujipatia wafuasi wa haraka kutoka Ukawa. Wapo wengi sana ambao bado hawajajua waende wapi. Kwa hiyo anatafuta kwa nguvu aaminike ili apate wafuasi wengi.

Kwa hiyo hapa ni kati ya Ukawa na Zitto nani mjanja.
anajitahidi sana ateke vijana kwenye mitandao ili apate mbegu na aweze kusonga mbele.

Na katika hili amefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Yaani walipokuwa wanatoka dodoma alivyoandaa mapokezi wangekosea tu wakakubaliana naye basi ange kuwa amewaingiza kingi.

Zitto anawatafuta Ukawa waingie kingi na atawatumia wakija kushituka tayari amepata watu.

Ni juu yenu sasa kuamua kusuka au kunyoa.

hater!!
 
Back
Top Bottom