Lengo la third interview kwenye international NGO

Nipo ndugu.

Kuwa mvumilivu watakupa majibu, huwa wanachelewa kuna muda (atleast kwa uzoefu wangu). Sijajua kwanini hizo delays huwa zinatokea, ila ni lazima watakupa majibu ya mwisho.

Yawezekana huu ni wakati mgumu kwako, jipe moyo. ๐Ÿค๐Ÿค

CC. Dr. Wansegamila mkuu any idea, unasemaje juu ya hili? Nimekuita wewe sababu huko juu umeeleza as someone In senior positions, naamini unauzoefu wa interviews za weupe kedekede...
H
Yeah, sometimes huwa wanachelewa, especially when the key decision maker ni mtu ana mambo mengi like director unajua wanakua na a lot on their table, sio tu majibu ya interview yako. So, ni vyema kuwa na uvumilivu kidogo, usually within 2-3 weeks watakupa response (whether positive or negative, mara nyingi candidates waliofikia hadi last stage huwa wanapewa feedback wote).
Ila pia, RUKUKU BOY kama ukiona wamekaa kimya muda zaidi ya wiki 3, you can send them a reminder e mail kuulizia progress, unaweza kuta wamepitiwa, but usikumbushie kama hazijazidi wiki 3.
 
Habari wakuu,

Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka Norway kupitia zoom. Nayenyewe nimepita, eti natakiwa kufanya Tena third interview Tena, kupitia Zoom.

Wakuu lengo la third interview uwa ni nini,? Je Kuna mtu ashawai pitia hizi interview anipe mwongozo.
Inategemea na mwajiri ila mara nyingi 3rd interview huwa ni informal sana sio interview nzito kihivyo hapo mara nyingi utakutana na management meaning head of department utakayofanyia kazi, head of organisation japo sio lazima inategemea na posirion if ni managerial, na top top wa HR hapo kinachotafutwa ni mtu atakayefit kwao based on their culture, budget, na position yenyewe na hapo kitu kidogo sana na ambacho hata hutokijua chaweza kukukosesha kazi maana kumbuka hapo huenda mkawa mmebakia candidate wawili strong ambapo yeyote anaweza pata kazi. Al in al hapo mtegemee Mungu zaidi.
 
Amina

Hiyo interview usishange ukaitwa then unapiga breakfast, au lunch na interviewers huku mazungumzo yakiwa ya kawaida sana tu๐Ÿคฃ
Niliwahi piga interview 3rd round ambapo nilikuwa na naibu balozi, head of HR, head of department niliyokuwa naenda ifanyia kazi ilikuwa ni mojawapo ya balozi za scandanavia kazi nilipata ili nilipiga chini coz of salary. Interview ilikuwa kawaida sanaaaa!
Naibu balozi alitaka tu kujua challenge ninazoanticipate kwenye hiyo kazi, akataka kujua mshahara ninaoutaka.
 
Mkuu interview

Mkuu interview nilishapiga mie ilikuwa pia technical hapa nasubiri majibu siku zinaenda naona kimya
 
Kuna jamaa yangu alipata ujumbe wa kwenda taasisi flan baada ya kufika alijua ni maongezi ya kawaida anashangaa wanaingizwa chumba na pepa linaanza alafu yeye ndo black peke ake ,
Mchujo wa kwanza kapita, wa pili kapita juzi tena ndo ameenda kupiga wa tatu .
Hizi kazi ni nzuri sana na Zina malipo mazuri ila unaitaji kufikilia mbali zaidi.
 
Duu unanitia moyo thanks mkuu, mie nadhani nkamaliza ya tatu Kuna ya nne, salary hatujabagain, afu interview ilikuwa nifanye Jana kwakua hakuna internet wakaalisha hadi next week nimechukia kwakweli
Salary hata ubagain huwezi pata mshahara nje ya Upper Margin yao.
Salary huwa ina limit hawawezi kuongeza kwa sababu wewe umetaka au umesema.

Muhimu upate ajira hao watu mishahara yao sio pesa za madafu
 
Habari wakuu,

Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka Norway kupitia zoom. Nayenyewe nimepita, eti natakiwa kufanya Tena third interview Tena, kupitia Zoom.

Wakuu lengo la third interview uwa ni nini,? Je Kuna mtu ashawai pitia hizi interview anipe mwongozo.
Third interview nahisi ni maboss unaoenda kufanya nao kazi
 
Back
Top Bottom