RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Habari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa phone interview na WA Norway, badae nkapita, na kuingia second interview nilifanya na ma boss kutoka Norway kupitia zoom. Nayenyewe nimepita, eti natakiwa kufanya Tena third interview Tena, kupitia Zoom.
Wakuu lengo la third interview uwa ni nini,? Je Kuna mtu ashawai pitia hizi interview anipe mwongozo.