Lengai Ole Sabaya nyanyuka usaidiane na Makonda

Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field. Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi ameendelea kupiga kazi ya field bila msaidizi hivyo ndiyo maana wananchi wameanza kummis kijana mchapakazi Lengai Ole Sabaya.

Kwenye mizani Sabaya na Mbowe wote walikuwa wafungwa wa kisiasa na tuhuma za Mbowe zilikuwa ni nzito sana na ushahidi wake umetolewa na watu wakubwa ambao ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama lakini tuhuma za Sabaya ni nyepesi sana na ushahidi unatolewa na watu ambao tangu mwanzo wanajulikana wana chuki na Sabaya, Wengine wametamba waziwazi kwenye mabaa kuwa lazima wamkomeshe huyo kijana.
Mh rais haiwezekani ukubali kuingilia uhuru wa mahakama na kumsamehe mwana Chadema Mbowe alafu ukamuacha kijana na mtoto wako na mwana CCM mwenzako Sabaya akiteseka kwa tuhuma za uongo na uzushi alizotungiwa na wakwepa kodi na wauza madawa ya kulevya wa wilaya ya Hai.

Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana ccm wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.

Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii, Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.

Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.

1. Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa. Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa na ukwepaji kodi.

2. Mbunge na madiwani wa ccm kushinda na kuongoza Halmashauri.

Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya CCM na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kuwa gaidi na kupoteza imani kwa wananchi wengi.

Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.
Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.

3. Kurejeshwa kwa aridhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi.

Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.
Sabaya ni mpinzani wa kweli ndani ya CCM hivi sasa.
Rais alichomfanya hakika kitakuja kuwarudi huko mbeleni
 
Wewe mpuuzi. Ulishawahi kuona wapi serikali ikitatua matatizo hapo kwa hapo?
Tutajie matatizo ambayo makonda ameyatatua
Wewe ni miongoni mwa wajinga walioaminishwa na yule chizi wa chatto kwamba nchi ikiongozwa na chama kimoja maendeleo yatakuwa. Sasa nchi inaongozwa na ccm kuanzia kijiji hapo chatto mpaka ikulu hayo matatizo mbona bado yapo???
Kenge maji wewe
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini

Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme ,Je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka ,habari njema zaidi ni kuanza Kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika Kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi Kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka Kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii ,wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na Kwa sababu hawaoni wataendelea kuona watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi Kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili " white elephant projects" na wapinzani Sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani Kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda ,sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako , matokeo ya kazi ngumu Kwa nchi hii tumeanza kuyaona Sasa.
 
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu,
. Lema na Lisu Familia zao wanalishwa na wazungu.
 
Back
Top Bottom