LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
9,003
6,798
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda mahakamani dhidi ya wake zao.”

“Inawezekanaje mbunge Msigwa ambaye mmekorofishana pengine kwa maneno ambayo hayana maana, mnashindwa kupatana halafu Halima Mdee ambaye walikipeleka chama Mahakamani, wanakuwa kwenye ‘Party’ yako ya kufunga mwaka.” Godbless Lema

 
Back
Top Bottom