Mugunga
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 640
- 911
Ukiwa na mtazamo unaofanana na Gambo hauwezi kuuona ushujaa wa lema.Sisi wengine tumeona kuwa amethubutu kumwambia mkulu yale mliyoita uchocheziAta sijaona huo ushujaa,
Ukiwa na mtazamo unaofanana na Gambo hauwezi kuuona ushujaa wa lema.Sisi wengine tumeona kuwa amethubutu kumwambia mkulu yale mliyoita uchocheziAta sijaona huo ushujaa,
Lema sio mwanasiasa wa KawaidaMhe.Lema Mbunge wa Arusha ni mwanasiasa mahiri lakini wa viwango vya kawaida kwani wa aina yake bado wapo wengi tuu. Lakini ghafla ametokea kuwa maarufu mno na kuonekana shujaa mbele ya wananchi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla. Hali iliyojitokeza Mjini Arusha leo ni uthibitisho kuwa hakuna wa kumzidi umaarufu wa kisiasa kwa sasa hapo Arusha.
Nini kimesababisha? Ukweli ni kuwa uonevu na wivu wa viongozi wa serikali ya CCM ndio karata yake iliyo mfanya aibuke shujaa wa aina yake. Viongozi hao akiwamo Mrisho Gambo RC wa Arusha wameonyesha wazi kuhusika na njama ambazo Majaji wa Mahakama ya Rufaa wameita 'unajisi wa sheria' dhidi ya Lema.
Safari ya kisiasa inajambo muhimu moja kuu nalo ni kupata uungwaji mkono, na hilo Lema amelimaliza sasa ni shujaa na anaungwa mkono hivyo watesi wake badala ya kumpunguzia umaarufu sasa ndio wamempa kiki zaidi kwa wao kushindwa kujua walilofanya ni kosa kubwa kimkakati kama walivyo dhani mwanzo
Akizingua tena ndani hadi miaka mitano ipite akishituka hajafanya kitu chochoteMpeni cheo cha juu sasa, ushujaa uonekane kama upo nchi nzima.
Naona kufungwa kwake kawaida tu, sababu ana mdomo mrefu wa maneno mabaya na pia mgomvi hana uvumilivu. Hajui wapi na wapi atende majambo, hajiheshimu. Labda jela imemnyoosha, muda utaonyesha.
sisi kina gogo la shamba tulishayasema hayo mapema kwamba,sasa Lema wamemfanya kuwa Nyerere wa ArushaMhe.Lema Mbunge wa Arusha ni mwanasiasa mahiri lakini wa viwango vya kawaida kwani wa aina yake bado wapo wengi tuu. Lakini ghafla ametokea kuwa maarufu mno na kuonekana shujaa mbele ya wananchi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla. Hali iliyojitokeza Mjini Arusha leo ni uthibitisho kuwa hakuna wa kumzidi umaarufu wa kisiasa kwa sasa hapo Arusha.
Nini kimesababisha? Ukweli ni kuwa uonevu na wivu wa viongozi wa serikali ya CCM ndio karata yake iliyo mfanya aibuke shujaa wa aina yake. Viongozi hao akiwamo Mrisho Gambo RC wa Arusha wameonyesha wazi kuhusika na njama ambazo Majaji wa Mahakama ya Rufaa wameita 'unajisi wa sheria' dhidi ya Lema.
Safari ya kisiasa inajambo muhimu moja kuu nalo ni kupata uungwaji mkono, na hilo Lema amelimaliza sasa ni shujaa na anaungwa mkono hivyo watesi wake badala ya kumpunguzia umaarufu sasa ndio wamempa kiki zaidi kwa wao kushindwa kujua walilofanya ni kosa kubwa kimkakati kama walivyo dhani mwanzo
Siasa humchukii mtu bali itikadi na matendo yake. Akibadilika na kufanya utakavyo unamuunga mkono. Sasa Lowassa kabadilika na anaimba wimbo mmoja na Lema kwa nini aendelee kumbza? mbona hilo ni somo dogo sana na mnashindwa kulielewa?Huyu jamaa namkubali namshauri achague maneno yakusema sikila neno unasematu,rejea alivyokuwa anamsema Lowasa,sasa yu pomoja nae kambini
Kamtukana nani mpaka ushindwe kuvumilia ?! Lema ni mwakilishi wa watu wenye akili wengine kuliko wewe.Endeleeeni kumtia ujinga ushujaa gani alionao labda ushujaa Wa kutukana na kuanzisha migogoro isiyo na tija
Sheria ya kizuizini ilishafutwa labda huna habariLema haungi mkono Na watu wenye akili. Anashabikiwa Na mashabiki wa ropoka ropoka ! Na ndio sababu iliyomtia lupango miezi minne. Akijifanya hamnazo atarudishwa huko huko ! Mpeni ushauri badala ya kumshabikia !
Weee mungiki siasa za Tz hazikuhusu alshababy wamekushinda nyie ndo wahamiaji haram tunaowasakaKamtukana nani mpaka ushindwe kuvumilia ?! Lema ni mwakilishi wa watu wenye akili wengine kuliko wewe.
'WATU WENYE KUHOJI MAMBO HUWA WANA MAONO'But this is now being killed. Mwalimu aliwapa uwaziri wanachuo wa UDSM karibu wote wiogome narinal service. Baada ya kuwaadhibu baadaye alisema mwenyewe "watu wenye kuhoji mambo huwa wana maono".
Huna hoja unakimbilia ukaburu mwehu we !! Aina yako hiyo ndiyo TT ya mtaa wenu huo ?! Shame on UWeee mungiki siasa za Tz hazikuhusu alshababy wamekushinda nyie ndo wahamiaji haram tunaowasaka