Lema, katika hili umekosea sana!

Kwenye research wanasema observation ni method nzuri zaidi ya kupata data. Mahakimu ni binadamu na dio maana walimnyima dhamana kwa kuamini kuwa hakustahili lakini mahakimu wa juu wakaitoa kwa kuona anastahili.
Itakuwa ni makosa kuamini kuwa mahakimu hawakosei wakati kila siku unasikia wakilalamikia ukosefu wa vifaa katika kutekeleza majukumu yao. Lema anaongea alichoshuhudia kwa macho yake bila kusimuliwa na anavyofikiri juu ya suluhisho. Kwani nchi zote zenye machafuko kulikuwa na Lema aliyewekwa mahabusu na akatoka kisha akayasema hayo!? Basi waliokosea ni waliompeleka huko maana angelipelekwa mwezini angakuja na story za mwezini na angani.
 
Kama walitenda kweli hayo makosa waache wasote, kama wanasingiziwa mahakama itende haki mapema,mungu anawaona.
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Hakuna mahali Lema aliwalaumu mahakama. Alicho demanding Lena no muda Hawa watu wamekaa mahabusu kwa kisingizio change upelelezi unaendelea. Miaka minne sasa.
Pia akasema hawatetei magaidi I'll upelelezi ikamilishwe mapema kama no kuhukumiwa wahukumiwe.
Usimlishe Lema maneno.
 
Lema kazidi ukanjanja yaani Mara hii tu ameshageuka CIA?? Arusha jitueni huu mzigo wa hasara! Hamna mbunge hapo.
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Hajawahi kukutana na magaidi wakiwa kazini huyo punga, analeta siasa kwenye mambo mazito! Lijinga sana hili jizi.
 
Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Unataka kusema hao magaidi ni CHADEMA au uliposema "UPANDE WENU" ulimaanisha nini?[/QUOTE]
Kwani wewe huji kua CHADEMA HUPENDA watu wa namna hiyo???
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Hee mbona wengine walihukumu wenzao hadharani mkakaa kimya hadi leo?
 
siasa za form two droper ni sawa sawa na hekaya za bashite tu..ngoja aote tena aende akarushe ndege kisongo aje na hekaya mpya..
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Mahakama inawanyima haki wale watu miaka kadhaa sasa ushahidi haujakamilika halafu hapo unajinasib mahakama inatenda haki sawa inaweza kutenda haki kw baadhi ya watu ila kw viongoz wale hawajaonja hiyo haki ya mahakama ila kuna siku watu watachoka na wachukue sheria mikonon mwao
 
hata mhalifu anaweza kuonewa kwa kutokutendewa haki zao kama wahalifu kwa mujibu wa sheria na haki za binadamu.
 
Jana umenukuliwa ukiongelea mambo mbalimbali yahusuyo gereza, wafungwa na mahabusu waliopo katika gereza kuku la Kisongo. Uliongea mengi. Lakini pamoja na yote, pia aligusia namna mahabusu wa ugaidi wanavyotendwa.

Kwa madai yake eti;

Mosi, wanaonewa!

Pili, kwa alivyofanya utafiti eti wale mahabusu hawana hatia.

Tatu na ndipo hasa hoja yangu ilipo ni kuhusu mahabusu hawa watasababisha machafuko ya kidini. Ndg Lema, tokea lini wewe ni mahakama? Je kama siye, kwanini unatoa hukumu ya eti watu hao wanaonewa?

Jamani, tuziache mahamaka zifanye kazi yake. Binafsi bado naamini mahakama ni chombo huru kabisa. Na ndiyo maana hata ninyi wapinzani na hata ukiwapo wewe Lema daima zimekuwa zikiwatendea haki na ninyi kuzipongeza.

Tusiwe watu wa kuiamini mahakama pale tu inapotenda haki kwa upande wenu tu na kuiona mahakama siyo mtenda haki wakati isipokuwa upande wenu.

Mchana mwema.
Mahakama wakati mwengine zinapokeaga maagizo kutoka juu
 
Back
Top Bottom