Lema kahamishia mapambano Bungeni, Tofauti na Bunge Lililopita

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Wanaukumbi.

Umaarufu wa Mbunge wa Arusha Mjini ulijijenga zaidi ktk maandamano ya kumpinga meya aliyepatikana kwa njia zisizo halali katika awamu iliyopita.

Aliongoza maandamano,akawa anakamatwa na polisi hapa Arusha Mara kwa Mara mpaka jina lake likawa kuubwa nje ya bunge.

Arusha wanashangaa ujio mpya wa mbunge wao ktk awamu hii kwani amekuwa anaibua masuala mazito bungeni likiwamo suala la Lugumi na hatua ya kumfustrate aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani.

Huu ni ujio mpya wa GODBLESS LEMA anayefahamika?
 
Yes ! Big up
 
Jimboni kwake kafanya nini ebu tupeni mambo ya kimaendeleo aliyowafanyia wana Arusha.. Kelele kila mtu anaweza sema hekma tu inatumika.
 
Kuwaondoa ccm ambao walikuwa adui WA maendeleo.amepambana na chanzo kwanza,, tunategemea maendeleo sasa!
Wana Arusha wamefaidika nini na kuondoka kwa ccm? Lema yeye kaleta nini kipya Arusha? Maendeleo gani kaleta Arusha?
 
Wana Arusha wamefaidika nini na kuondoka kwa ccm? Lema yeye kaleta nini kipya Arusha? Maendeleo gani kaleta Arusha?
Bado hujaondoka ktk siasa na imani za kishirikina zilizojengwa na mafunzo ya kishirikina ya CCM? Wewe hilo swali lako na ubishi usio na tija unadhali likijibiwa au kutojibiwa lina msaada gani kwako na CCM? huna tofauti na mbeba unga kugeuka teja. Wenzio walimwita mnywa viroba baada wakaanza kutojiamini na kudhani pengine ni viroba vimempa akili na ujasiri, nao wakanywa gizani.Sasa wanaumbuka hadharani.HUo upuuzi ulipaswa kuutumia ktk kampani sasa km hazikufanya kazi usiamue kuzifanya ndio iamni yako.
 
Lema amejitambua ni kati ya wabunge wachache wanaoweza kujenga hoja Bungeni bila mimi kushika rimoti mkononi .

Nadhani ametambua zile siasa zake zilichangia kuipotezea Arusha umaruufu Na hata watalii.

Hongera Lema ila achana Na siasa za kusema leo Lowasa Ufisadi halafu kesho msafi.

Wenye akili watashindwa kukuunga mkono.!
 
Mkuu hii sio awamu ya maneno matupu.. Ebu tuambie Lema kaleta maendeleo gani Arusha?
 
Mkuu hii sio awamu ya maneno matupu.. Ebu tuambie Lema kaleta maendeleo gani Arusha?
Kwani ulipmigia kura? Sasa unamtaka vipi awe responsible kwako? Inawezekana vilivyopo ktk list yako hajavifanya, na hazikuwa na maana kwake km ulivyoona huna kura ya kumpa. Hembu kawaulize wenzio kwa nini wamempa kura mara mbili.Na nini waliomba kwake, zaidi ya alichoahidi Lema.
 
Ok ni vizuri kama unatambua Lema hakuna alichofanya Arusha ni mtu wa kupiga kelele tupu. Nawahurumia wana Arusha kama maendeleo yao ni kuwa na mbunge mwizi wa magari.
 
UVCCM katika ubora wa juu wa unafki . Lema Ni sawa Na akina nepi oh sorry napeh 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…