zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,477
- 1,696
DuuhUkiwa CCM hata ukiua hauna kesi, mradi tu ijulikane kuwa uliyemuua ni wa chadema.
DuuhUkiwa CCM hata ukiua hauna kesi, mradi tu ijulikane kuwa uliyemuua ni wa chadema.
Lema hana kosa kutamka Magufuli atakufa si kosa.
Alikua waziri lakini aliachia ngazi kwa lazima hakupenda.Hata kama ni chokoraa, kwani ukimkimtendea kosa chokoraa linakuwa siyo kosa?
"EL" ni aliyeawahi kuwa Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa tanzania! Hivyo kama makosa yanaaangalia nyadhifa ya aliyetendewa, basi yeye pia anao wadhifa!
Kwanini unadhani ni kosa Mtu akikutajia kiungo cha uzazi cha Mama yako wakati ni kweli anacho?
Mkuu, alichokifanya Lema sijakipenda hata mimi na wala siyo jambo jema kumtabiria mtu kifo! Kama kuna sheria ya kumsagasaga Lema na kuwa kama unga wa mahindi ningeunga mkono tu!
Swali moja najiuliza, EL alitabiriwa kifo mara nyingi sana, na waliomtabiria kifo wapo na wanajulikana, je sheria imewafanya nini hao wengine waliofanya kosa kama la Lema? Kwanini na wao wasingekuwa gerezani hadi sasa kujibu mashtaka ama kutafuta dhamana zao?
Mchungaji Lusekelo, mzee wa Upako, alitabiria watu kifo hadi ikifika "march" mwaka huu wasipo kufa atauza gongo! Vipi sheria hapa mbona haitii amri bila shuruti?
Acha upumbavu wewe wa kutaka kufananisha vitu visivyo na uwiano. Tangu lini kusema mtu atakufa imekuwa ni kosa!? Kwa kifungu kipi cha sheria za nchi!? Wapumbavu kama wewe ndiyo huyo dikteta uchwara Anawafurahia kwa kumpigia makofi na mambo mbali mbali anayoyafanya yanayoangamiza nchi.
Hata kwenye nyumba za ibada tunaambiwa hakika tutakufa.Acha upumbavu wewe wa kutaka kufananisha vitu visivyo na uwiano. Tangu lini kusema mtu atakufa imekuwa ni kosa!? Kwa kifungu kipi cha sheria za nchi!? Wapumbavu kama wewe ndiyo huyo dikteta uchwara Anawafurahia kwa kumpigia makofi na mambo mbali mbali anayoyafanya yanayoangamiza nchi.
Ni kweli serikali inashinda mitandaoni kutafuta "wanaotumia maneno sahihi kuikosoa serikali".Wakati wa kampeni pande zote zilikejeliana zilitukanana zilipondana zilizomeana zilidhihakiana. Wakati ule ni free zone ya siasa referee wa mchezo alikuwa tume ya uchaguzi na msajili wa vyama vya siasa ingekuwa kuna kukamatana wangekamatwa wagombea na wapambe wao wote uchaguzi usingeendelea hao wanaochafuliwa na kutukanwa kwenye mtandao waende polisi na uthibitisho wakafungue kesi unategemea serikali itashinda mtandaoni kuangalia kila anayetukanwa na kufungua kesi kwa niaba yake wakati yeye mwenyewe halalamiki wala hajali?
hata kinyesi ni fahari kwa bakiteria, na mzoga ni heri kwa fisi na mbwa kokoTHE LEGEND , THE LEADER, THE SMARTIEST MAN WHO MAKE FOOLS CAN'T SLEEP
pole sana uko miongon mwa wale wanaokosa usingizihata kinyesi ni fahari kwa bakiteria, na mzoga ni heri kwa fisi na mbwa koko
Inafanya hivyo kama umeioffend serikali yenyewe lkn sio abdallah atukanwe wamkamate aliyemtukana abdallah bila mwenyewe kulalamika.Ni kweli serikali inashinda mitandaoni kutafuta "wanaotumia maneno sahihi kuikosoa serikali".
Ndiyo Maana hadi sasa Max Mello ana kesi mahakamani.