Inconvenient Truths
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 439
- 354
Muda mfupi tu baada ya Mwinyi kuingia madarakani na kubadili mtazamo wetu wa kiuchumi, mambo yakaanza kubadilika kiasi cha kuwashangaza watu. Magenge ya ulanguzi yakatoweka baada ya bidhaa kupatikana kwa wingi.Asante sana Ritz kwa kuweka bayana hayo
Mkuu JF kuna wakongwe wengi watakuja tu.uzi huu utakosa wachangiaji maana wako wengine humu wamezaliwa 1990 hivyo anaondoka Mwinyi wao wana miaka mitano.
na hiki ndio kizazi cha smart phone
Surely u weren't on 80's pale mafundi cherehani walipata kipato kwa kuria viraka nguo kwenye viraka.Alkua anaambiwa na WB na IMF Nate anatimiza so hapakuwa na ujuzi wala ubunifu kupigia mfano!! Ruhusu demokrasia- sawa! ruhusu soko huria-sawa! nk. nk. Kuhusu legacy may be that but for me there was nothing best in particular!
Na ndio haohao wametaka kujua legacy au ww umejua ni MTU tu amejiandikia bandikouzi huu utakosa wachangiaji maana wako wengine humu wamezaliwa 1990 hivyo anaondoka Mwinyi wao wana miaka mitano.
na hiki ndio kizazi cha smart phone
Ndugu yangu ulikuwepo kipindi cha ugawaji tunapata unga wa njano( chakula cha farasi)kwa foleniAlkua anaambiwa na WB na IMF Nate anatimiza so hapakuwa na ujuzi wala ubunifu kupigia mfano!! Ruhusu demokrasia- sawa! ruhusu soko huria-sawa! nk. nk. Kuhusu legacy may be that but for me there was nothing best in particular!
...Nakumbuka tulikuwa tunapiga mswaki kwa mkaa, kwamba unang'arisha meno! Colgate ilikuwa deal kweli kweli.Muda mfupi tu baada ya Mwinyi kuingia madarakani na kubadili mtazamo wetu wa kiuchumi, mambo yakaanza kubadilika kiasi cha kuwashangaza watu. Magenge ya ulanguzi yakatoweka baada ya bidhaa kupatikana kwa wingi.
...Hapa ndio watu wakaanza kupunguza umasikini, kwani fulsa ziliongezeka.Watanzania wakaanza kufanya biashara na nchi nyingine, waliokwenda Kenya kupeleka machungwa, na wao kurudi na sabuni za kufulia na kuogea, waliokwenda Uganda, waliokwenda Uarabuni, Ulaya, Marekani, alimuradi kila mmoja alikwenda alikotaka.
...Umenikumbusha mbali, ndugu.Soko la bidhaa mbalimbali likashamiri. Badala ya watu kutafuta bidhaa, bidhaa zikatafuta watu. Nguo mpya za dukani bwerere, mitumba bwerere, sabuni kibao, fegi hahahah teletele, magari makubwa na madogo kibao, Televisheni kibao, Radio kibao.
Foleni zilikuwa za kusukumana kwani watu walikuwa wengi kuliko bidhaa. Ndiyo kusema, wengine walirudi nyumbani mikono mitupu baada ya jitihada za kusukumana ili kulifikia dirisha la duka kushindikana. Wengine walizirai kwenye foleni! Ugumu hasa ulikuwa katika kupata sukari au mchele uliokuja kwa nadra....Humu ndani kuna watu mna akili nzuri sana, ila wakati mwingine huwa mnajipachika kurukwa akili.
...Nakumbuka tulikuwa tunapiga mswaki kwa mkaa, kwamba unang'arisha meno! Colgate ilikuwa deal kweli kweli.
...Naona kama tunaweza rudi kule. Hii issue ya sukari haijakaa vizuri. Tulisha sahau bidhaa kuadimika madukani, au kuuzwa kwa magendo.
...Hapa ndio watu wakaanza kupunguza umasikini, kwani fulsa ziliongezeka.
...Umenikumbusha mbali, ndugu.
...Hatutamsahau Mzee wetu, Al-Haj A. H. Mwinyi.
...Unajua alichokuwa anaambiwa? Pamoja na kwamba SAP zilikuwa na machungu yake, uchumi ulianza funguka na bidhaa zikajaa maduka, watu wakiwekeza katika miradi kwa jinsi ya uwezo wao.Alkua anaambiwa na WB na IMF Nae anatimiza so hapakuwa na ujuzi wala ubunifu kupigia mfano!! Ruhusu demokrasia- sawa! ruhusu soko huria-sawa! nk. nk. Kuhusu legacy may be that but for me there was nothing best in particular!
Sijui kama ulikuwepo hicho kipindi daah!!Alkua anaambiwa na WB na IMF Nate anatimiza so hapakuwa na ujuzi wala ubunifu kupigia mfano!! Ruhusu demokrasia- sawa! ruhusu soko huria-sawa! nk. nk. Kuhusu legacy may be that but for me there was nothing best in particular!
...Si bora ukae kwenye foleni, baadae upate hiyo ration yako/yenu. Unaweza kaa, foleni ndio imetoa wanne, mnaambiwa "unga wa ngano umeisha". Dah, chapati ilikuwa anasa!Foleni zilikuwa za kusukumana kwani watu walikuwa wengi kuliko bidhaa. Ndiyo kusema, wengine walirudi nyumbani mikono mitupu baada ya jitihada za kusukumana ili kulifikia dirisha la duka kushindikana. Wengine walizirai kwenye foleni! Ugumu hasa ulikuwa katika kupata sukari au mchele uliokuja kwa nadra.