Learning Chinese language

MENGISINA

Senior Member
Sep 16, 2022
113
144
Nipo ndani ya jukwaa la lugha na pia napenda kutumia fursa hii kuwashukuru members wote wa jamii forums.

Lengo langu nikutaka kukuletea fursa mbalmbali za kujifunza lugha wakati unapokua KWENYE hili jukwaa pendwa la lugha asanteni Sana, hivyo Basi Mimi ninakuja na program ya kujifunza lugha ya KICHINA ninahitaji watu wengi Sana ambao nitaanza nao mwanzo Hadi tamati.

Pia kitu ambacho ninakihitaji kutoka kwenu niwewe members wa jamii forums kugusa kitufe Cha (like) iliniweze kujua idadi ya members watakao kuwa na mimi sambamba (muhimu watu kuanzia elfu moja wakilaiki tangazo hili basi sitakawia kuanzisha program hii.

Ahsante Sana
 
Leo nitaanza hivi tuyajue maneno haya ya lugha ya KICHINA kupitia kingereza:

1.(Wô)hili nineno la KICHINA likiwa na maana kua (me) ktka kingereza
2.Nî- means (you)
3.men- this article when you add it to the word it means you changed that word from singular to plural e.g( wô+men= wômen) the pronoun
wô- which means -me now it has been changed to plural (US)- Wômen

* So the wômen-it means -US


TASK

Hebu tutumie article- men kuiweka kwenye maneno yafuatayo:
*Tā- maana -he/she/it
*Nî -maana- you
*Wô-maana-me
* Zan -maana-you
Hapo juu ndugu mfatiliaji ni orodha ya maneno ya lugha ya KICHINA na maana zake kwa lugha ya kingereza yakiwa ktk umoja yaani ( singular) Sasa tuyaweke katika wingi kwakutumia article (men) ilituweze kupata wingi was maneno hayo yaani plural ahsante
*Tā ........?
*Nî ........?
*Wô .......?
*Zan.......?


Kumbuka hi Nî fursa usipite bila comment & like
 
SOME COMMON CHINESE VERBS
IMG_20220918_095941_0.jpg
 
Habari za jioni wadau.
Good evening guys.
Nî hâo ma?
BAADA YA SALAMU LEO TUJIFUNZE KUHESABU NAMBA (1) hadi NAMBA (10) KWA LUGHA YA KICHINA:
*Mmoja (yī)
*Mbili (èr)
*Tatu (sān)
*Nne (sì)
*Tano (wû)
*Sita (liù)
*Saba(qī)
*Nane(bā)
*Tisa(jiû)
*Kumi(shí)
Asante xanaa kwa ushirikiano.
Thanks you.
Xìe xìe.
 
Back
Top Bottom