Huyu jamaa mzee anafanya mambo ya kitoto sana istagram kwani ana cheo gani tz?
Hivi mbona mpo obsessed na Lemutuz.Huyu Lemutuz anafaa kuwa marketing manager .
Upuuzi wa Le mutuz, nothing new.
Le Mtindiz yenyewe ni Malapa!lemutuz atoa tamko kuhusu lemtindiz wa superstar mwenzake
watanzania wamefurahishwa sana kuona masupastaa hawa class A wakipeana big up kuhusu mitindizzzzz
View attachment 211424
Na hanywi pombe jamaaWakati anaandika alikuwa amelewa au mzima na akili zake? au akili ya ki teenager ilimrudia ghafla? Vinginevyo ni hamnazo!
lemutuz atoa tamko kuhusu lemtindiz wa superstar mwenzake
watanzania wamefurahishwa sana kuona masupastaa hawa class A wakipeana big up kuhusu mitindizzzzz
View attachment 211424
chesco muuza matunda ,mtuma salamu radioni naye ni supastaa so usishangaeIli uitwe super star TZ kigezo gani kinatumika? Le Mutuz kuitwa super star!! Hivi hata ukifanya upuuzi wa kuudhi watu ukatoka ktk vyombo vya habari basi ati wewe ni SS nini hiyo? Sitoshangaa kusikia hata hawa wezi waliokwenda na Sandarusi Mkombozi bank kuitwa ma Super Star. Labda siwelewi vizuri maana yake
Le Mutuz ana matatizo kichwani hata kama anafanya kwa ajili ya kuingiza hela kwa style hii a big nuh.
Ili uitwe super star TZ kigezo gani kinatumika? Le Mutuz kuitwa super star!! Hivi hata ukifanya upuuzi wa kuudhi watu ukatoka ktk vyombo vya habari basi ati wewe ni SS nini hiyo? Sitoshangaa kusikia hata hawa wezi waliokwenda na Sandarusi Mkombozi bank kuitwa ma Super Star. Labda siwelewi vizuri maana yake
chesco muuza matunda ,mtuma salamu radioni naye ni supastaa so usishangae
"Maana kibongobongo ustaa kujulikana/
Haizingatiwi ni nini mtu anafanya/
Huyu anauza gongo,yule anauza nyanya/
Mwingine mchora katuni maarufu kama Kipanya...."
Profesa Jay