Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 235
- Thread starter
- #41
Kama watu wanapima ukimwi na majibu wanaweka kwapani haileti maana yoyote bora wasipime na wasitangaze kama wamepima ningekuwa kiongozi ningeweka board maalumu unapima pale majibu unaona katika board na waandishi wa habari wanachukuwa kalamu zao na kuandika kisha haya majbu tuna publish katika magazeti na tovuti zetu maalumu kuweka watu hawa wazi
Sio kwamba tunawanyanyapaa bali ni kutaka kuwa wazi zaidi kuionyesha jamii ugonjwa huu ulivyosambaa na unavyoendelea kusambaa kwa kasi na nguvu mpya
Sio kwamba tunawanyanyapaa bali ni kutaka kuwa wazi zaidi kuionyesha jamii ugonjwa huu ulivyosambaa na unavyoendelea kusambaa kwa kasi na nguvu mpya