Lazima kutoa sadaka Kanisani

acheni kuliwa,jifunzeni BIBLIA mjue KWELI, kinachotakiwa sio SADAKA, bali ni michango ya HIARI, ili kuendeleza na kutegemeza kaz ya KUHUBIRI,...kwa hyo mnapaswa kujua ya msing na kuyaacha yasiyo msingi
 
Vyote ni hiari yako kusali na kutoa sadaka au kusali bila kutoa sadaka au kusali na kutoa sadaka. Makanisa yote hayana magereza kwa kutofanya mojawapo hufungwi hata mara moja. Lakini kama imani yako inakutuma kuwa ni bora kuliendeleza kanisa lako kwa kuwapa mahitaji muhimu wahubiri wako, na kuwasaidia kuwafikia wasiona uwezo wa kuwapa mafuta na kwenda kwao...kwa kufanya hivyo unasaidia kuinjilisha pia.
 

asante kwa huu uchambuzi mzuri na kuvitoa vifungu kabisa kutoka biblia JE UNAONA NI HAKI KUPANGIWA KIASI CHA KUTOA kama sadaka? na je kuwekwa kimakundi kisa umetoa kiasi kikubwa ni sahihi NI LAZIMA TUMLISHE MCHUNGAJI LAKINI NDO TUWEKWE KWENYE MAKUNDI KISA UMETOA KIASI FULANI? sadaka ni siri lakini siku hizi sio siri wa elfu kumi mbele na mia tano nyuma sahihi ivo?
 

vyema umenena mkuu swali kwako umeamua kuliendeleza kanisa kama maelezo yako mara unaambiwa kama una sadaka ndogo wewe nyuma waanze wa kuanzia elfu kumi kwanza ndipo nyinyi wenye ndogo mtafuata hiyo kauli unaichukuliaje sio unyanyapaa vipi yule mjane angenyanyapaliwa kisa alitoa kiasi kidogo lakini huyo akaonekana katoa kingi kuliko wote
 
Siku hizi kuna matangazo radioni na kwenye tv ( wanalipia) ya wapi kanisa la mchungaji fulani lilipo au matangazo ya barabarani linakuelekeza wapi kanisa lilipo,unadhani wanafanya hivo hili iweje ??????


hapo kweli ndo mishahara ndio maana mwenye kutoa kubwa heshima MAKANISA SASA HIVI SIO WITO TENA wapo kipesa zaidi
 
"..Siku hizi za karibuni inaonekana sadaka ni pesa tu, na kwenye makanisa kuna vikapu zaidi ya vi tano kwa ajili ya sadaka. lakini sadaka ya kweli ni kumpa chochote mtu aliyena na uhitaji.."

kabisa na huyo ndie anaebarikiwa UMEMPITA KILEMA BILA KUMSAIDIA eti sadaka yako itapokelewa na MAKANISA YA SASA HIVI WALIVO ROHO NGUMU mwenye uhitaji akijitokeza hawamsaidii wakati sadaka inafaa itumike kote
 
Aliye nacho ataongezewa na asiye nacho hata kile kidogo alichonacho atanyang'anywa....Umeshaambiwa hapo juu usiende kanisani kama huna michango...ila ile ya kanisani sio sadaka ni michango....kama ilivyo michango ya harusi.

ko kumbe unafurahia kuwekwa kwenye makundi KANISANI TUTAENDA ILA UJUE WALE BINADAMU WANAKOSEA PIA mkuu mimi naona ni nje kuwaweka watu kwa sadaka wanazotoa
 
Sasa hilo la kuwekwa kimakundi sijawahi kuliona live, nasikia tu; Kwa sababu inategemea dhehebu na dhehebu. Kama waumini wameridhia iwe hivyo sioni tatizo, otherwise kama hawajaridhia wanapaswa kuwasilisha mapendekezi yao kwenye baraza lao, nafikiri huu ni utaribu mzuri na rasmi.
 
Serikali ni lazma iingilie kati hawa watu cwema tena, kuanzia makanisa makubwa hata madogo wote mafisadi tu,ndio maana Mimi huwa nawakubali waislam hawanaga ujingaujinga kama wetu
 
 

okay asante na umelisikia hili lipo na hakuna aliyeridhia ndio maana wengi wamelilalamikia na hata wakiridhia je unahisi ni haki kufanya ivo kwa mujibu wa neno linavoelekeza sadaka itolewe
 

asante mkuu ni kweli tuliambiwa manabii wa uongo watakuja siku za mwisho huenda ni hawa maana haiwezekani upange watu kutokana na kiasi wanachotoa MUNGU YUPO NASI
 
Serikali ni lazma iingilie kati hawa watu cwema tena, kuanzia makanisa makubwa hata madogo wote mafisadi tu,ndio maana Mimi huwa nawakubali waislam hawanaga ujingaujinga kama wetu

NI KUOMBA MUNGU TU ATUSIMAMIE KATIKA HILI na wanaofanya wengi ni makanisa ya kipentecoste hapa nadhani elimu ya biblia inachangia wengi hawajasoma vyuo vya kibiblia
 
Soma biblia
Neno linasema usije nyumbani kwa Bwana mikono mitupu
Utatoa sadaka za maongeo ya mazao yako
Fungu la kumi ni la Bwana
mtolee Bwana kwa moyo wa kupenda
tunza hazina yako mbinguni
usichelewe kutoa fungu la kumi la mazao yako


pia soma
Mfalme Solomoni alitoa sadaka nyingi sana aina mbalimbali elf moja yaani kama ni ngombe nyingi sana hiyo aina moja, kondoo nyingi sana hiyo ya pili nakuendelea mpaka zikafika sadaka elf moja Bwana akamtokea akamwambia omba chochote
biblia inasema sadaka zenu zitaliwa na kuhani na itakuwa ni amri ya milele
Kaini hakutoa Sadaka ya kuoendeza machoni pa Bwana ikakataliwa na Bwana
wakati wa kutengeneza hema ya kukitania na Sanduku la Agano watu walitoa sadaka mpaka zikazidi .
sadaka ni daraja kati ya mwadamu na Mungu
tajiri mmoja moagani alikuwa anatoa sadaka kwa ajili ya kujenga makanisa ikatokea mwanae alikuwa mgonjwa wakamwambia Yesu kuna jamaa mwanae anaumwa Yesu hakutaka kwenda wakamwbia ametoa sadaka nyingi kuchangia ujenzi wa makanisa akasema kama ni hivyo nitakwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…