Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,601
- 97,931
Raha tuuuuuuuu
Hapana mkuu,nilisahau ni kwa tamaduni zao tuseme.Kuna mzungu hapo mwee..!
Hakika hutolionaNasubiri la baba jeska siku anaaga!
Hao ni wazungu?Wazungu hawaogopagi macho ya watu mzee hiyo wala sio ajabu,wanafanya hata mbele ya wazazi wao sasa wewe mndengereko mwenzangu kafanye hivyo mbele ya wazazi wako usipovuna laana.
Kwanini mkuu!Hakika hutoliona
So amazing!My best couple ever!!
Mwanamke, unajisikiaje mwenzio akikuonesha mapenz makubwa kias hiki bila kuogopa macho ya watu.
Busu la mwisho White House!!!
View attachment 462030
Sure!michele anaonekana ana natural taste na ile chocolate colour! busu na salute pembeni
Tehe!Nitajisikia aibu.
Ni weusi wenye tamaduni za kizungu.Hao ni wazungu?
Tamaduni toka lini zikabadilisha mwafrika kuwa mzungu?Ni weusi wenye tamaduni za kizungu.
Very nice, Halafu linasindikizwa na salute. Nimekumbuka lile la Haika....Raha Iliyochanganyika na aibu lol
Bado la kweyuRaha tuuuuuuuu
Me nalipata dailyBado la kweyu
ngumiiiNasubiri la baba jeska siku anaaga!
Ntawapa mil.14 maake ninapesa ya kutoshaAhahah
Mkuu unazo milion 7?
Haha duhNasubiri la baba jeska siku anaaga!