Unauza sh ngapi mkuu?
Lk 8 mbona ghali sana,hupunguzi kidogo?
imetumika muda gani?800,000 mkuu
imetumika muda gani?
Miezi sita crack nyingi hivyo?!Ina miezi sita
Miezi sita crack nyingi hivyo?!
Mtu akiweka mzigo juu ya 8th generation nakufa nae!😄😄😄Mkuu kwamba gari mpya halipati ajali?Laptop ilokuwa kwenye bag ikapata mgandamizo ndo ikapata crack coz kuna mtu mwingine aliwema mzigo wake juu ya begi la PC