Kambalanick
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 1,157
- 1,045
ichoboy01 ulikua unasema lamu imekwama....ebu njoo uku utuambie ni lamu ipi iyo
Has not, it is quite on trackconstruction of lokichar nadapal road has realy dragged.Anyone with pics
Ndo maana binafsi napinga kabisa mradi wa kijinga wa sgr ya umeme,imagine tunavyokamuliwa matilion ya pesa kwenda kwenye mradi usiokuwa na maana,hizo pesa ni nyingi sana tungewekeza kwenye miundombinu ya kisasa kuunganisha nchi nzima ingekuwa na tija kuliko upuuzi huo,hata aibu hatuna,barabara za wenzetu viwango lakini maccm yanazidi kutuingiza mkenge.hakuna barabara kutoka Moro songea,mbeya tabora,sumbawanga kigoma,mpanda tabora mtwara songea niombe ifakara na nyingine nyingi nyingi ,tuwe na soniHuu ni ujinga mwingine kwa wa Tzn kuwa na wishful thinking kwa miradi ya Kenya na kuombea yao ifeli,wako mbele sana kimiundombinu tena strategic na wanaonyesha progress,sie tuko bize tunakomaa nao wakati kwetu kwa sehemu kubwa tuna miradi ya makaratasi miaka na miaka.Kwa kuwakomalia wakenya tunazidi kuwapa ari,nguvu na speed ya maendeleo zaidi.Watu mmeacha kujadili hoja ila mipasho ya taarab,nonsense.Mbona sie wa Tzn hatuelezi lini barabara za mtwara songea,songea morogoro,s/wanga kigoma nyakanazi,tabora mbeya/mpanda,mbeya singida,tabora kigoma etc zitakamilika lini? Hapo sijataja miradi ya reli,kuna watu mnaujasiri wa kupinga ukweli aisee
Eti dart full of chaos!Show us anything you guyz have completed except for that 2way bridge and a DART full of chaos