Wewe huwezi kulinganisha mzoga wa PSPF na LAPF angalia mwenyewe hapa:-Ndugu yangu Mlugulu,
Wala sio minyukano ya staff, ni ukweli ulio wazi kwamba hawa jamaa wa LAPF wamekuwa wababaishaji sana. Yaani hawana lolote la maana.
Subiri uone kama wale jamaa zao watalipwa mapema, ungekuwa unalinganisha na wengine, hasa PSPF, ungeamini.
PSPF wanawahi kulipa, wanatoa mikopo, ofcourse kupitia benki, kwa wanachama wao.
Kikubwa umeona wanavyowaandaa wanachama wao kwa semina na ushauri kabla ya kustaafu na kupata mapene. Khalghabhaho